Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eh.....Hongereni kwa kupendana na Happy birthday yako mkuu BujibujiRaha ya Pendo liwe live and exclusive.
Sio moyo unampenda Anna, macho yanampenda Amina, nywele zinampenda Bishauri, kiuno kinampenda Yolanda..
No..No... No..
A very Big No.
Mimi na moyo Wangu, na akili zangu na vyote nilivyonavyo, kwa dhati kabisa, nampenda Miss Natafuta, kwake napata amani, Faraja na security. She is more than a JF member to me.
Nakupenda.
Mtaalam wa dawa za mapenzi ni MziziMkavu, huyo ni balaaHa ha ha, Miss Natafuta atakuwa amerogwa, maana Bujibuji ana ukaribu wa hali ya juu na mshana jr!
Akili zake zikirudi ndo tutajua ukweli.
mapenzi upofu, ukipenda chongo huita chongezaBujibuji buana, watoto wote wanaokusifia wa uswazi na waswahilina. Sijui unaingiaje kwao na marashi ya rost ya kitimoto!?
Hongera buana
MPE salamu The bold
Mungu mkubwa.Happy birthday brother
Niko kwenye msitu wa Congo Niko kwenye Mafunzo ya juuBujibuji ameachaga kuwanga?
asante kwa dua njemaHappy birthday mjomba Bujibuji m'mungu azidi kukuweka.
asante sanaEh.....Hongereni kwa kupendana na Happy birthday yako mkuu Bujibuji
Mtaalam wa dawa za mapenzi ni MziziMkavu, huyo ni balaa
halafu sijamuona alitutahadharisha yeye ni shabiki wa Asernal halafu anatokea Iringa cc@BujibujiAnatumia Kiroba cha baridi[emoji3]