Happy birthday Bujibuji

Happy birthday Bujibuji

Raha ya Pendo liwe live and exclusive.
Sio moyo unampenda Anna, macho yanampenda Amina, nywele zinampenda Bishauri, kiuno kinampenda Yolanda..
No..No... No..
A very Big No.
Mimi na moyo Wangu, na akili zangu na vyote nilivyonavyo, kwa dhati kabisa, nampenda Miss Natafuta, kwake napata amani, Faraja na security. She is more than a JF member to me.
Nakupenda.
Eh.....Hongereni kwa kupendana na Happy birthday yako mkuu Bujibuji
 
Bujibuji buana, watoto wote wanaokusifia wa uswazi na waswahilina. Sijui unaingiaje kwao na marashi ya rost ya kitimoto!?

Hongera buana
 
Back
Top Bottom