figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Mbona Toka zamani namuambiaga hivyo,na ana base moja zuri sana,ha ha ha sema kuna sehemu anakosea tu akiirekebisha ananichukua mazima figaniga una nini lakini leo mbavu zangu mie
sijanunua best ninunulie,hivi ulishirikigi shindano la injili la ladyfurahia pale leotupohapa?Hahahaaa.... Jamani... Mimi mwisho ntanyosha mikono. Nataka nipeleke barua ya Posa kwa mrembo fulani tumekutana humu humu JF anaitwa Jolie Jolie. Vipi kwenye harusi utakuja.. Nataka nioe mie nshazeheka sasa.
Mpambaji atakua ladyfurahia. Najua sasa hivi yupo kanisani. Alitoa album yake sijui hata kama uliinunua.
Hahahaaaa.... Jamani nyie mna vituko.. Kwani bado hajakurudishia? Kashapoteza. Hahaaaa...Kipaji namdai mtandio wangu mpaka leohii comment yako itansababishia pm nyingi sana leo,thanks kwa compliment lakini
Kipaji ushamkataaa. Kwahiyo umempendea base. Mbona akikuita pale Kontena unajifanya busy? Kama kujirekebisha kashajirekebisha zamani. Nenda akuchukue japo nusu tu. Nashangaa unavyombania kitu kidogo.
Kipaji situka. Huyu anakupaka mafuta kwa mgongo wa chupa. Kama kweli mwambie aje coz huna baya lolote. Kwanza hakuna mtu mstaarabu kama Kipaji. Muulize Madame B
Hahaaaa... amu naomba uniache. Kwanza mna tabia mbaya. Mwenzenu anawapa injili nyie mwamlazimisha kunywa pombe.Jollie Jolie wa hazard banasijanunua best ninunulie,hivi ulishirikigi shindano la injili la ladyfurahia pale leotupohapa?
kuna watu walikuwa wanatuokotaga humu jamani
mzigua hana mtu tumuoe kwanza mweupe na chura ipo,halafu anapenda mishkaki ya nunduHahaaaa... amu naomba uniache. Kwanza mna tabia mbaya. Mwenzenu anawapa injili nyie mwamlazimisha kunywa pombe.
Dunia simama nishuke. Leo nmecheka hadi kichwa kinauma.
Baini bana. Ila naomba ahazard atie neno kabla sijaharibu mambo. Manake ni aibu ndugu kuoa mke mmoja. Itabidi nmuachie ntafute chaguo lingine. Vipi mzigua 90? Naweza peleka barua?
Hahahhaha
Nyie tatizo mliingia kwa gia ya udada.
Hahahhaha
Ramli chonganishi hiyo.
Ila kipindi kile tulikuwa tuna nyyege sana.
amu unakumbuka tulivyokuwa tunajibebisha kwa Ruttashobolwa enzi za Leo tupo hapa.
Tunalewa tilalila kisa tu tutarudishwa majumbani
Ila kulikuwa na wanaume makauzu jamaniiiiiii.
Hivi LiverpoolFC bado umeshikilia msimamo wako?
Legeza kamba tukuchune.
Sijui nimuite Kaka kiiza aje atusalimie. Unanishaurije?Hahaha naona mnatukurupusha tulio lala
Hahaha, mie si unajua MTU wa kuangalia tu ,nawasomaKipaji ushamkataaa. Kwahiyo umempendea base. Mbona akikuita pale Kontena unajifanya busy? Kama kujirekebisha kashajirekebisha zamani. Nenda akuchukue japo nusu tu. Nashangaa unavyombania kitu kidogo.
Kipaji situka. Huyu anakupaka mafuta kwa mgongo wa chupa. Kama kweli mwambie aje coz huna baya lolote. Kwanza hakuna mtu mstaarabu kama Kipaji. Muulize Madame B
Wewe kama mimi, siku hizi mtu wa kuangalia tu. Kwanza nshazoea mwenzio. Naona umeamua kuniiga.Hahaha, mie si unajua MTU wa kuangalia tu ,nawasoma
Basi kwakuwa mawifi mumempenda mzigua 90, mimi sina neno. Jiandae kula pilau. Ila akianza nilisha nundu si ndo ntaanza kuota kitambi sasa?Shindano lenyewe lilidhaminiwa na mtambuzi na pombe maarufu jf govindakumar mzigua hana mtu tumuoe kwanza mweupe na chura ipo,halafu anapenda mishkaki ya nundu
Mzigua ni nani?alikua anakuja Leo tena?au JF party?Basi kwakuwa mawifi mumempenda mzigua 90, mimi sina neno. Jiandae kula pilau. Ila akianza nilisha nundu si ndo ntaanza kuota kitambi sasa?
Basi kwakuwa mawifi mumempenda mzigua 90, mimi sina neno. Jiandae kula pilau. Ila akianza nilisha nundu si ndo ntaanza kuota kitambi sasa?
kwani sikuambiagi wewe ni handsome na sauti yako,halafu kikao cha dharura itisha bombesoMie handsome? Mmmh makubwa haya ,JF now ina watu wake