Happy birthday Chachu Ombara

Happy birthday Chachu Ombara

Mbona Toka zamani namuambiaga hivyo,na ana base moja zuri sana,ha ha ha sema kuna sehemu anakosea tu akiirekebisha ananichukua mazima figaniga una nini lakini leo mbavu zangu mie

Kipaji ushamkataaa. Kwahiyo umempendea base. Mbona akikuita pale Kontena unajifanya busy? Kama kujirekebisha kashajirekebisha zamani. Nenda akuchukue japo nusu tu. Nashangaa unavyombania kitu kidogo.

Kipaji situka. Huyu anakupaka mafuta kwa mgongo wa chupa. Kama kweli mwambie aje coz huna baya lolote. Kwanza hakuna mtu mstaarabu kama Kipaji. Muulize Madame B
 
Jollie Jolie wa hazard bana
Hahahaaa.... Jamani... Mimi mwisho ntanyosha mikono. Nataka nipeleke barua ya Posa kwa mrembo fulani tumekutana humu humu JF anaitwa Jolie Jolie. Vipi kwenye harusi utakuja.. Nataka nioe mie nshazeheka sasa.

Mpambaji atakua ladyfurahia. Najua sasa hivi yupo kanisani. Alitoa album yake sijui hata kama uliinunua.
sijanunua best ninunulie,hivi ulishirikigi shindano la injili la ladyfurahia pale leotupohapa?
kuna watu walikuwa wanatuokotaga humu jamani
 
Kipaji namdai mtandio wangu mpaka leohii comment yako itansababishia pm nyingi sana leo,thanks kwa compliment lakini
Hahahaaaa.... Jamani nyie mna vituko.. Kwani bado hajakurudishia? Kashapoteza. Hahaaaa...

Asanteni kwa kunichekesha. Mvua ishaanza ngoja niangalie ustaarabu hapa.

Nakupenda sana amu
 
Fala sana wewe unanifanya nionekane chizi kwa kucheka,kipaji leo nyota imekuangukia wangu si kwa masifa haya
Kipaji ushamkataaa. Kwahiyo umempendea base. Mbona akikuita pale Kontena unajifanya busy? Kama kujirekebisha kashajirekebisha zamani. Nenda akuchukue japo nusu tu. Nashangaa unavyombania kitu kidogo.

Kipaji situka. Huyu anakupaka mafuta kwa mgongo wa chupa. Kama kweli mwambie aje coz huna baya lolote. Kwanza hakuna mtu mstaarabu kama Kipaji. Muulize Madame B
 
Jollie Jolie wa hazard banasijanunua best ninunulie,hivi ulishirikigi shindano la injili la ladyfurahia pale leotupohapa?
kuna watu walikuwa wanatuokotaga humu jamani
Hahaaaa... amu naomba uniache. Kwanza mna tabia mbaya. Mwenzenu anawapa injili nyie mwamlazimisha kunywa pombe.

Dunia simama nishuke. Leo nmecheka hadi kichwa kinauma.

Baini bana. Ila naomba ahazard atie neno kabla sijaharibu mambo. Manake ni aibu ndugu kuoa mke mmoja. Itabidi nmuachie ntafute chaguo lingine. Vipi mzigua 90? Naweza peleka barua?
 
Shindano lenyewe lilidhaminiwa na mtambuzi na pombe maarufu jf govindakumar
Hahaaaa... amu naomba uniache. Kwanza mna tabia mbaya. Mwenzenu anawapa injili nyie mwamlazimisha kunywa pombe.

Dunia simama nishuke. Leo nmecheka hadi kichwa kinauma.

Baini bana. Ila naomba ahazard atie neno kabla sijaharibu mambo. Manake ni aibu ndugu kuoa mke mmoja. Itabidi nmuachie ntafute chaguo lingine. Vipi mzigua 90? Naweza peleka barua?
mzigua hana mtu tumuoe kwanza mweupe na chura ipo,halafu anapenda mishkaki ya nundu
 
Hahahaaa... amu nahisi kuna sehemu unakosea. Una uhakika walikuwa wanafanya sio walikuwa wanaongea? Uliona gari ikitikisika kwani?

Ila wewe mbea sana. Madame B akanambae yule achana naye.. Kwanza kasharudi kwao mwanza.. Sina mawasiliano naye kabisa kwanza hatuongei. Hahahaaaa...
Hahahhaha
Ramli chonganishi hiyo.
Ila kipindi kile tulikuwa tuna nyyege sana.

amu unakumbuka tulivyokuwa tunajibebisha kwa Ruttashobolwa enzi za Leo tupo hapa.
Tunalewa tilalila kisa tu tutarudishwa majumbani

Ila kulikuwa na wanaume makauzu jamaniiiiiii.
Hivi LiverpoolFC bado umeshikilia msimamo wako?
Legeza kamba tukuchune.
 
Hahahaaa.... Mumenifurahisha sana nyie watoto. Kabla sijakukabidhi mikoba subiri Kipaji aamke ili nimuulize kama bado anamtaka amu, kama kashakata tamaa ndo tuanze upya.

Ila amu kakaa utamu sana.. Akikupita lazima ugeuke. Sema ndo hivyo tunajikaza kisabuni..
Nyie tatizo mliingia kwa gia ya udada.
Wenzenu waliingia mazimamazima na wakajilia warembo wa Jf.

Leo 🙂cool: 😛) unakumbuka shuka kushakucha!!!
amu ngoja nimuweke kwingine
 
Rutta Alikuwa anakaa lindi sijui mtwara ila kila siku tupo nae,mimi nlikuwa najibebisha kwa mtambuzi,kipaji kaizer
Hahahhaha
Ramli chonganishi hiyo.
Ila kipindi kile tulikuwa tuna nyyege sana.

amu unakumbuka tulivyokuwa tunajibebisha kwa Ruttashobolwa enzi za Leo tupo hapa.
Tunalewa tilalila kisa tu tutarudishwa majumbani

Ila kulikuwa na wanaume makauzu jamaniiiiiii.
Hivi LiverpoolFC bado umeshikilia msimamo wako?
Legeza kamba tukuchune.
 
Nimesoma huu Uzi,asee mmenikumbusha mbali sana ,Niko mbali nikirudi town naitisha kikao cha dharura
 
Kipaji ushamkataaa. Kwahiyo umempendea base. Mbona akikuita pale Kontena unajifanya busy? Kama kujirekebisha kashajirekebisha zamani. Nenda akuchukue japo nusu tu. Nashangaa unavyombania kitu kidogo.

Kipaji situka. Huyu anakupaka mafuta kwa mgongo wa chupa. Kama kweli mwambie aje coz huna baya lolote. Kwanza hakuna mtu mstaarabu kama Kipaji. Muulize Madame B
Hahaha, mie si unajua MTU wa kuangalia tu ,nawasoma
 
Shindano lenyewe lilidhaminiwa na mtambuzi na pombe maarufu jf govindakumar mzigua hana mtu tumuoe kwanza mweupe na chura ipo,halafu anapenda mishkaki ya nundu
Basi kwakuwa mawifi mumempenda mzigua 90, mimi sina neno. Jiandae kula pilau. Ila akianza nilisha nundu si ndo ntaanza kuota kitambi sasa?
 
Mzigua ni nani?alikua anakuja Leo tena?au JF party?
Hajawahi kuja. amu ndo anamjua kwa sifa alizozitaja. Mbona wamuulizia? JF kumejaa warembo kibao. Ntakupiga ngumi ukimp mwenzio nataka amu anikutanishe naye nioe mie. Wewe komaa na amu, kashaanza kukuita handsome. Huyu mwanamke jamani!
 
Mie handsome? Mmmh makubwa haya ,JF now ina watu wake
 
Mbona hivyo jamani nimecheka sana we figaniga ni mwehu
Hajawahi kuja. amu ndo anamjua kwa sifa alizozitaja. Mbona wamuulizia? JF kumejaa warembo kibao. Ntakupiga ngumi ukimp mwenzio nataka amu anikutanishe naye nioe mie. Wewe komaa na amu, kashaanza kukuita handsome. Huyu mwanamke jamani!
 
Unakosea Kumtag Mzigua mtag vizuri
Basi kwakuwa mawifi mumempenda mzigua 90, mimi sina neno. Jiandae kula pilau. Ila akianza nilisha nundu si ndo ntaanza kuota kitambi sasa?

Mie handsome? Mmmh makubwa haya ,JF now ina watu wake
kwani sikuambiagi wewe ni handsome na sauti yako,halafu kikao cha dharura itisha bombeso
 
Back
Top Bottom