Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Makuti bar opposite na Kibila Bar?Siku hizi mimehamishia kambi Makuti Bar Bunju B.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makuti bar opposite na Kibila Bar?Siku hizi mimehamishia kambi Makuti Bar Bunju B.
Juzi ile nilikupigia nilikuwa naenda Mk then narudi kiwanja hiko.Yaani hii post wamejazana wakongwe maalwatan wa jf,madame nipitie na mimi hao band wanirushe bwana
Mara ya mwisho unaweza kukumbuka umefunga lini?Juzi ile nilikupigia nilikuwa naenda Mk then narudi kiwanja hiko.
Ila ndo Ramadhan inakuja....mpaka Idd tena
Jamani mzee wa 100
Huku kutafutana ubaya ujue.Mara ya mwisho unaweza kukumbuka umefunga lini?
Papu chilo nyuma ya mwanamboka hy,Niko mbali best ,km nakuona vile
We nawe wataka kufufua makaburi.Ila madamae siku ile kwa mjeda kwenye gari na chachu mlikuwa mnafanya nini?maana uligoma kushuka?
figaniga alikua njaa kali labda siku hizi mambo safi maana yupo kwenye payrol ya jf
Hahaaa... Sasa wewe ulitaka kwenye msiba nikufanye nini au nikuambie nini? Mi nlitaka tuonane hata pale kwa Ben rasmi nishushe maneno matamu ya kumtoa nyoka pangoni. Sasa pale kwenye msiba maneno matamu yangetoka wapi? Uwe unaangalia mazingira na wewe.. Ala!Fala wewe wakati tulikesha msiba wa bibi sijui babu(nimesahau utankumbusha)
Ila madamae siku ile kwa mjeda kwenye gari na chachu mlikuwa mnafanya nini?maana uligoma kushuka?
nimecheka balaaWe nawe wataka kufufua makaburi.
Yule kaka yangu tu.....🙂🙂🙂🙂🙂
Maramamae.. Yaani siku hizi Kipaji Halisi unamuona handsome? Kweli dunia duara.. Hahahaaaa...!!mr handsome kwa nini hulali?
Hahahaaa.... Mumenifurahisha sana nyie watoto. Kabla sijakukabidhi mikoba subiri Kipaji aamke ili nimuulize kama bado anamtaka amu, kama kashakata tamaa ndo tuanze upya.
ila nimecheka sana jamani mmenichekesha
figaniga una nini lakini leo mbavu zangu mieMaramamae.. Yaani siku hizi Kipaji Halisi unamuona handsome? Kweli dunia duara.. Hahahaaaa...!!
Hahahaaa.... Jamani... Mimi mwisho ntanyosha mikono. Nataka nipeleke barua ya Posa kwa mrembo fulani tumekutana humu humu JF anaitwa Jolie Jolie. Vipi kwenye harusi utakuja.. Nataka nioe mie nshazeheka sasa.Ha Ha Ha kwa hiyo madame akaniuwa loo jamani sisi kwetu nyuma ya masai rami mpaka mlangoni,huko mwanza nlioleka tuila nimecheka sana jamani mmenichekesha
hii comment yako itansababishia pm nyingi sana leo,thanks kwa compliment lakini