Happy birthday Chachu Ombara

Happy birthday Chachu Ombara

Yaani hii post wamejazana wakongwe maalwatan wa jf,madame nipitie na mimi hao band wanirushe bwana
Juzi ile nilikupigia nilikuwa naenda Mk then narudi kiwanja hiko.
Ila ndo Ramadhan inakuja....mpaka Idd tena
 
amu mambo? Nmefurahi kukuona.. Madame B kipindi kile alinibania kukuona wala hakutaka nikuulizie hakutaka nijue upo wapi.. Hadi akasababisha nawahiwa.. Yaani watu wabaya..
Jamani mzee wa 100
Mwanamke hatongozewi.
Likitokea la kutokea tutakuja shikana uchawi ujue.
Ila usijali, maadam umekuja....niachie kila kitu

amu usimsikilize bhana
Alikuwa ameoa afu huyu pesa zake anazisikilizia.
Bora mzee Asprin
 
Fala wewe wakati tulikesha msiba wa bibi sijui babu(nimesahau utankumbusha)
amu mambo? Nmefurahi kukuona.. Madame B kipindi kile alinibania kukuona wala hakutaka nikuulizie hakutaka nijue upo wapi.. Hadi akasababisha nawahiwa.. Yaani watu wabaya..
 
Ila madamae siku ile kwa mjeda kwenye gari na chachu mlikuwa mnafanya nini?maana uligoma kushuka?
Jamani mzee wa 100
Mwanamke hatongozewi.
Likitokea la kutokea tutakuja shikana uchawi ujue.
Ila usijali, maadam umekuja....niachie kila kitu

amu usimsikilize bhana
Alikuwa ameoa afu huyu pesa zake anazisikilizia.
Bora mzee Asprin
 
Ila madamae siku ile kwa mjeda kwenye gari na chachu mlikuwa mnafanya nini?maana uligoma kushuka?
figaniga alikua njaa kali labda siku hizi mambo safi maana yupo kwenye payrol ya jf
We nawe wataka kufufua makaburi.
Yule kaka yangu tu.....🙂🙂🙂🙂🙂
 
Fala wewe wakati tulikesha msiba wa bibi sijui babu(nimesahau utankumbusha)
Hahaaa... Sasa wewe ulitaka kwenye msiba nikufanye nini au nikuambie nini? Mi nlitaka tuonane hata pale kwa Ben rasmi nishushe maneno matamu ya kumtoa nyoka pangoni. Sasa pale kwenye msiba maneno matamu yangetoka wapi? Uwe unaangalia mazingira na wewe.. Ala!
 
Ila madamae siku ile kwa mjeda kwenye gari na chachu mlikuwa mnafanya nini?maana uligoma kushuka?

Hahahaaa... amu nahisi kuna sehemu unakosea. Una uhakika walikuwa wanafanya sio walikuwa wanaongea? Uliona gari ikitikisika kwani?

Ila wewe mbea sana. Madame B akanambae yule achana naye.. Kwanza kasharudi kwao mwanza.. Sina mawasiliano naye kabisa kwanza hatuongei. Hahahaaaa...
 
Jamani mzee wa 100
Mwanamke hatongozewi.
Likitokea la kutokea tutakuja shikana uchawi ujue.
Ila usijali, maadam umekuja....niachie kila kitu

amu usimsikilize bhana
Alikuwa ameoa afu huyu pesa zake anazisikilizia.
Bora mzee Asprin
Hahahaaa.... Mumenifurahisha sana nyie watoto. Kabla sijakukabidhi mikoba subiri Kipaji aamke ili nimuulize kama bado anamtaka amu, kama kashakata tamaa ndo tuanze upya.

Ila amu kakaa utamu sana.. Akikupita lazima ugeuke. Sema ndo hivyo tunajikaza kisabuni..
 
Ha Ha Ha kwa hiyo madame akaniuwa loo jamani sisi kwetu nyuma ya masai rami mpaka mlangoni,huko mwanza nlioleka tu
Hahahaaa... amu nahisi kuna sehemu unakosea. Una uhakika walikuwa wanafanya sio walikuwa wanaongea? Uliona gari ikitikisika kwani?

Ila wewe mbea sana. Madame B akanambae yule achana naye.. Kwanza kasharudi kwao mwanza.. Sina mawasiliano naye kabisa kwanza hatuongei. Hahahaaaa...
ila nimecheka sana jamani mmenichekesha
 
Mbona Toka zamani namuambiaga hivyo,na ana base moja zuri sana,ha ha ha sema kuna sehemu anakosea tu akiirekebisha ananichukua mazima
Maramamae.. Yaani siku hizi Kipaji Halisi unamuona handsome? Kweli dunia duara.. Hahahaaaa...!!
figaniga una nini lakini leo mbavu zangu mie
 
Ha Ha Ha kwa hiyo madame akaniuwa loo jamani sisi kwetu nyuma ya masai rami mpaka mlangoni,huko mwanza nlioleka tuila nimecheka sana jamani mmenichekesha
Hahahaaa.... Jamani... Mimi mwisho ntanyosha mikono. Nataka nipeleke barua ya Posa kwa mrembo fulani tumekutana humu humu JF anaitwa Jolie Jolie. Vipi kwenye harusi utakuja.. Nataka nioe mie nshazeheka sasa.

Mpambaji atakua ladyfurahia. Najua sasa hivi yupo kanisani. Alitoa album yake sijui hata kama uliinunua.
 
Kipaji namdai mtandio wangu mpaka leo
Hahahaaa.... Mumenifurahisha sana nyie watoto. Kabla sijakukabidhi mikoba subiri Kipaji aamke ili nimuulize kama bado anamtaka amu, kama kashakata tamaa ndo tuanze upya.
Ila amu kakaa utamu sana.. Akikupita lazima ugeuke. Sema ndo hivyo tunajikaza kisabuni..
hii comment yako itansababishia pm nyingi sana leo,thanks kwa compliment lakini
 
Back
Top Bottom