[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaanulivo na hekaheka mia kidogo unakumbukaje wee
Kwa kuwa umesema mapema kuhusu Ulanzi, ngoja nimwagize jirani Mama Matembo atuandalie hizo dumla 3.Ahsanteee sanaa Gran pah!! [emoji120][emoji120][emoji120]
Naomba niandalie na ulanzi dumla 3, nilewee had baas.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ahsanteee sana, [emoji120][emoji120]Heri ya mfanano wake wa kuzaliwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu zawadi inijie ikiwa full.Udugu zawadi anatoa cantry ndio namsikilizia hapa tukujaze [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila lazima nikate ya ganji
[emoji482][emoji482] eeh ndiwoooo!!!Enjoy to the fullest shosss [emoji8]wewe treinaaahhhh! Hunaga baya na mtu best akee!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa shem, maisha hayataki nitulie, mwendo wa kukimbizana na jua tyuuh.Ila coca bana, kwa hiyo ndio umekuja sasa hivi?
Btw happy bday
πππ naomba airudieKakimbiza wengi sana sikuhizi wanachungulia nakupita kimya kimya tu Rabbitus ni hatareeee...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu JF nshawazoeaa, mbna hawajawahi nisumbua, wao ndo wanapoteanaaa.
πππHuyu huwa ni mjanja mjanja sana, unafikiri alikuwa hayupo?Yaniii sijui alikua anakazwa tangu asubuhi kweli mxxxieeeeeeeeww zake π! cocastic π€
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mama matembo yupi? Naemjua huyu mcharukoo khaaahKwa kuwa umesema mapema kuhusu Ulanzi, ngoja nimwagize jirani Mama Matembo atuandalie hizo dumla 3.
Hilo limeisha Mjukuu, sema lingine [emoji847]
Seriously?hata maneno ya mwisho hujaona?kukuombea hapo mwisho upate matako makubwa hujaona?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ahsanteee!! Ila lugha sasa daah.
Treeeenaa πNi yeye tu hakuna mwingineer... Hurrraaayyy kwa Mj akeee hurray!π