Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Yaani huyu aniadopt niwe mdogo wake kabisa ๐๐คฃ๐Nimekosa mimi ๐๐๐๐
Kuna watu sijui kujichanganya kuanza nao battle aiseee
Unaweza kuzimia unajiona๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Lile battle lilikuwa tamu sana, halafu bro hatumii nguvu ana mi evidence yake ya kushato anaiporomosha tyuu!! ๐๐๐