Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Wamesema wanaifuta mimi niendelee na hii.Wivu wake tu
Hivi ndio hawataki kufungua ile ID?
Kisa kantry alikuwa anajibizana na penseli, sasa Kantry akamuuliza penseli kwa nini unatumia id nyingine unaacha kutumia ile ya penseli? Penseli akasema id ya penseli imepigwa ban km ya ile ya cute wife ya miezi 3 akimaanisha id yangu. Ndio wazee wa kureport wakajibeba kwa mods kusema eti penseli kasema id ya cute wife ni yake. Na mods na mihemko yao wakaunganisha.
Niliwauliza hawana majibu ya kueleweka wameshikilia hiyo comment ya penseli. Nilijua wangeniletea ushahidi wa kueleweka labda wa email au IP address vyote hawana. Wananipa majibu mepesi tu