Happy birthday cocastic

Happy birthday cocastic

Jirani muda wa kukusanya maokoto huu baadae πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nakujua wewe tutakesha hapa
Jirani soon tu nachanganya zege na kama ujuavyo huwa halilali πŸ˜‚
Kwahiyo ubusy unaanza nisijewakomentia zege bure
 
Hivi bro Rabbitus hujakamatwa bado?! 🀣🀣🀣🀣
Mara ya mwisho nilisikia utatafutwa ukamatwe na serikali ya vichaa kutoka milembe
 
🀣🀣🀣🀣 Ila rab alinichekesha ile siku
Nikikumbuka nachekaga na ile bifu ya kufuta ngunyani mpk tukapewa ban πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sijui lini tena irudiwe
Waliendeleza usiku wa Manane
Anasema yeye mtoto wa mjini,hatishwi na washamba kutoka Bukoba

Mboga zetu jamani
Yule mod ana wivu sana
 
Waliendeleza usiku wa Manane
Anasema yeye mtoto wa mjini,hatishwi na washamba kutoka Bukoba

Mboga zetu jamani
Yule mod ana wivu sana
🀣🀣🀣🀣 dah!! Rabb born town yul!!
Ila mod siku ile alijua kutufutia picha zetu. Nikaona umetuma pic ya mchezaji wa Liverpool nayo ikafutwa. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
🀣🀣🀣🀣 dah!! Rabb born town yul!!
Ila mod siku ile alijua kutufutia picha zetu. Nikaona umetuma pic ya mchezaji wa Liverpool nayo ikafutwa. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Walifuta hadi picha ya ugali
Yule mod sijui alikuwa na njaa Kali!
 
Back
Top Bottom