Happy Birthday CONTROLA

Happy Birthday CONTROLA

Thank you very much Depal

na kwakua we are talking about a "day" and not a month or a year

sitokua nimekosea kama nikikuita my "birthday pal" yes "you're"

halafu ndio maaaana kumbeeee... sema acha nikaushe.

Thank you once again Depal
B-pal 😍😍😍
.
.
.
Halafu ndio nini? Emu niambie bana
 
B-pal 😍😍😍
.
.
.
Halafu ndio nini? Emu niambie bana
Many suggest "birth date twins" na kwakua sipendelei sana "common" names like twins

i think the word twin should be left for a rarity, But for you Depal there're many names

like Fellow,Mate,Pal,etc which is the best among all with it's uniqueness?

To me
i had one option which is Pal, Yes you're my "Birthday Pal"...

do u like it? please say "Yes" Accept it with a big ''yaaas" 🤦‍♂️
 
Happy birthday kwako mkuu japo nimechelewa.
Shukrani sana Chief,nami pia nimechelewa ona hii

Nadhani halijaharibika nimefarijika kuona umechukua muda wako

kuni wish, hakuna zawadi iliyokubwa kama "muda" ukiona mtu yupo tayari

kukupa hata sekunde 1 tu kukusikiliza Fahamu kua Anakupenda,anakuheshimu,anakujali,nk nk

kama ndivyo,kwanini nisipokee Zawadi hii uliyoamua kunpa Bure with nothing in charge?

Thank you so much troublemaker
 
nimechekaaa [emoji1787] [emoji1787]

basi usinune sasa keki yako acha nikaweke order

utaipata nzima nzima ole wako usiifate sasa,haya sema mwenyewe

unataka ikatengenezewe bakery gani nielekeze tu mahali ilipo hiyo bakery...

"uache kulia lia" kama zakhera
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Jamaniiiiiiii... vile najiskia baada ya kukosa ile keki toka kwa mimiks siwezi elezea

ila Asante sana mimiks japo mambo ya address haya,unaweza toa address ukashangaa

wamekuja ma pai/wajomba (polisi) wanakuuliza wewe ndio bwana CONTROLA unawajibu ndio

Haya twende bwana kuna post zako uliongelea upatkanaji wa hela bandia tunaomba msaada wako.

Aseee mi ntawambia wanipe keki yangu kwanza nile then ndio nikawape msaada zaidi[emoji1787]

mimiks ubarikiwe mama maneno yangu hayatoshi kumaliza shukurani zangu ila fahamu tu kwamba

umebariki moyo wangu.
Hahahahhaha tubarikiwe sote
 
Many suggest "birth date twins" na kwakua sipendelei sana "common" names like twins

i think the word twin should be left for a rarity, But for you Depal there're many names

like Fellow,Mate,Pal,etc which is the best among all with it's uniqueness?

To me
i had one option which is Pal, Yes you're my "Birthday Pal"...

do u like it? please say "Yes" Accept it with a big ''yaaas" 🤦‍♂️
Accepted 😇
Be blessed pal 😘
 
Good Lord..!!
Nitaweka wapi uso wangu?? Nisamehe sana mdogo wangu, maana hata sikuona hili!!
Happy Belated Bornday My Very Adorable Brother CONTROLA, May all of your wishes and dreams come true, you real mean the world to Me..!!
Wishing you a fully and wonderful year ahead of you.!!
More blessings, More Life and More Money My dear!!
 
na una bahatiiii maana nilikua naku zoom tu

nikasema kweli sweetie ni wakunitenda kiasi hiki mimi

nikamwambia Mungu "eeh baba npe moyo wa subira"

Kwakweli nimeamini subira yavuta kheriiii

SweetieLee umekua dada bora,mzuri na wa faida kwangu

maneno yako mazuri ya kunitia tabasamu usoni mwangu nimefarijika nayo

sana na yamepelekea wingi wa siku zangu uzidi kuongezeka,sina la kuweza kukwambia

kuonyesha shukurani yangu kwako,ila naweza kukwambia Asante sana kwa kutumia kidogo ulichonacho

kwa ajili yangu,Muda wako ni mtaji mkubwa sana ila kuamua kuchukua nafasi ukaanza andika salamu nzuri namna hii

kwa ajili ya katoto haka ka CONTROLA ina maana umemthamini lakini zaidi unamjali "asante kwa hilo" SweetieLee

Ubarikiwe na wewe,utokapo,uingiapo,ulalapo,uamkapo baraka za yakobo ziandamane na wewe kila kona.

Sema huo uso wako ntakwambia pakuuficha 😂 😂
 
Uuwiiii sina cha kujitetea kabisa zaidi ya kuomba msamaha tu wa dhati

Happy belated birthday my dear CONTROLA Mungu akujalie maisha marefu yenye amani, fanaka na baraka tele tele

Zaidi sana upokee haja ya moyo wako
usije ukasema hukuona tena quote yangu
 
Back
Top Bottom