Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haijabakiza keki hata kidogo?
Many suggest "birth date twins" na kwakua sipendelei sana "common" names like twinsB-pal 😍😍😍
.
.
.
Halafu ndio nini? Emu niambie bana
Shukrani sana Chief,nami pia nimechelewa ona hiiHappy birthday kwako mkuu japo nimechelewa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimechekaaa [emoji1787] [emoji1787]
basi usinune sasa keki yako acha nikaweke order
utaipata nzima nzima ole wako usiifate sasa,haya sema mwenyewe
unataka ikatengenezewe bakery gani nielekeze tu mahali ilipo hiyo bakery...
"uache kulia lia" kama zakhera
Hahahahhaha tubarikiwe soteJamaniiiiiiii... vile najiskia baada ya kukosa ile keki toka kwa mimiks siwezi elezea
ila Asante sana mimiks japo mambo ya address haya,unaweza toa address ukashangaa
wamekuja ma pai/wajomba (polisi) wanakuuliza wewe ndio bwana CONTROLA unawajibu ndio
Haya twende bwana kuna post zako uliongelea upatkanaji wa hela bandia tunaomba msaada wako.
Aseee mi ntawambia wanipe keki yangu kwanza nile then ndio nikawape msaada zaidi[emoji1787]
mimiks ubarikiwe mama maneno yangu hayatoshi kumaliza shukurani zangu ila fahamu tu kwamba
umebariki moyo wangu.
Accepted 😇Many suggest "birth date twins" na kwakua sipendelei sana "common" names like twins
i think the word twin should be left for a rarity, But for you Depal there're many names
like Fellow,Mate,Pal,etc which is the best among all with it's uniqueness?
To me i had one option which is Pal, Yes you're my "Birthday Pal"...
do u like it? please say "Yes" Accept it with a big ''yaaas" 🤦♂️
na una bahatiiii maana nilikua naku zoom tuGood Lord..!!
Nitaweka wapi uso wangu?? Nisamehe sana mdogo wangu, maana hata sikuona hili!!
Happy Belated Bornday My Very Adorable Brother CONTROLA, May all of your wishes and dreams come true, you real mean the world to Me..!!
Wishing you a fully and wonderful year ahead of you.!!
More blessings, More Life and More Money My dear!!