Happy Birthday CONTROLA

Happy Birthday CONTROLA

JF is my HOME nimiaka inapita najifunza mengi na kukutana na wengi sina lakusema zuri au kubwa zaidi ya Asante kwa kila alie na anae changia zuri ambalo limekua likinisaidia ktk maisha yangu.

Mwaka mwingine nimeongeza Uwepo wa JF umekua na faida nyingi kwangu kuliko hasara.

Asanteni wote mlionifanya rafiki/mshauri/kaka/ndugu/Baba,nk nawashukuru wote mlioniamini na mnaoendelea kuniamini.

Natamani kutoa asante kubwa kwa wote wanaotamani kuvuka toka walipo lakini hawakati tamaa ktk utafutaji hasa kwa njia ya usomaji kuptia nakala na maandishi yangu.

Mbarikiwee siku 1 mtavuka.

Happy Birthday CONTROLA
Happy birthday to me and happy birthday CONTROLA tuendelee kupambana na maisha na tusiache kusali na kushukuru kwa Mungu kila nyakati sababu ni wengi awajapewa nafasi kama ii ya kutimiza umri uu.
20211126_095701.jpg
 
Back
Top Bottom