JF is my HOME nimiaka inapita najifunza mengi na kukutana na wengi sina lakusema zuri au kubwa zaidi ya Asante kwa kila alie na anae changia zuri ambalo limekua likinisaidia ktk maisha yangu.
Mwaka mwingine nimeongeza Uwepo wa JF umekua na faida nyingi kwangu kuliko hasara.
Asanteni wote mlionifanya rafiki/mshauri/kaka/ndugu/Baba,nk nawashukuru wote mlioniamini na mnaoendelea kuniamini.
Natamani kutoa asante kubwa kwa wote wanaotamani kuvuka toka walipo lakini hawakati tamaa ktk utafutaji hasa kwa njia ya usomaji kuptia nakala na maandishi yangu.
Mbarikiwee siku 1 mtavuka.
Happy Birthday
CONTROLA