Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Mwenye uzi wake kasema tunamuharibia😀.Sawa nimeelewa nataka nikuulize swali personal unaniruhusu!
Hebu uliza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenye uzi wake kasema tunamuharibia😀.Sawa nimeelewa nataka nikuulize swali personal unaniruhusu!
Uliolewa ukiwa na umri gani! 😃Mwenye uzi wake kasema tunamuharibia😀.
Hebu uliza
Achana nae 😶Mwenye uzi wake kasema tunamuharibia
Aisee umenikabaUliolewa ukiwa na umri gani! 😃
Mtani funguka ☺️😊Aisee umenikaba
Thank you swts.Very busy. Out of the country. Mpaka nimepitiwa.
Happy Belated birthday my dear big sis. Natumai hujambo pamoja na mume na watoto. Much blessings dear na nyote mzidi kubarikiwa sana.
We love you 👋
View attachment 3184557
Ahsante sana Becky. Happy holidays to you and yours.Happy birthday Heaven Sent, katika wadada niliopenda michango yao wewe umo...wengine nitawataja siku nyingine....enjoy mamii..
Aah wapiMtani funguka ☺️😊
Happy belated birthday to you too my fellow Sagittarius. Such a honest soul...Happy belated birthday
Heaven Sent
Ishii miakaa mingii mama malezi, kuna busara, hekima, na heshima nimejifunza kwako.
Kubwa zaidi mafunzo ya Mahusiano, hakika nimefaidika mnooo.
Huna bayaa mama maleziiii. [emoji8][emoji8][emoji8]