Happy Birthday Dada Mkubwa Heaven Sent!

Happy Birthday Dada Mkubwa Heaven Sent!

Huna binti uniozeshe!!
Una madume tu!?
Ndio mkuu
Unataka kuniambia nini huko Pm mkuu??
Nina zawadi yako
We ni kabila gani!!
Please msiharibu uzi huu. Ni wa birthday ya mwanamke anayeheshimika sana hapa JF na huko kanisani kwa mumewe. Just be care msije mkaleta mambo yaso heshima please. Heshima na utu ni vitu vya bure japo ni ghali sana!

Thanks much 👋
 
Very busy. Out of the country. Mpaka nimepitiwa.

Happy Belated birthday my dear big sis. Natumai hujambo pamoja na mume na watoto. Much blessings dear na nyote mzidi kubarikiwa sana.

We love you 👋

1221-075923 (3).jpg
 
Back
Top Bottom