Happy Birthday Dada Mkubwa Heaven Sent!

Happy Birthday Dada Mkubwa Heaven Sent!

Heaven Sent alikua na mchango positive sana hapo awali, ulikua ukisoma comment yake lazima uirudie mara mbili mbili, sikumbuki ule uzi lakini kuna jinsi alinijibu ile comment nili screenshot bahati mbaya simu hizi hatudumu nazo.
Ubarikiwe sana Heaven Sent mpo wachache sana ambao jamii haikosi kujivunia kwa ajili yenu
Happy birthday, zidi kuwa jinsi ulivyo na Mungu akubarikie sana.
 
Asante sana dadangu. My dream is one day to see you in person. With my family. God used you to save us; and we will be eternally grateful to you. Ubarikiwe mpaka ukinai 🙏🏿🙏🏿🙏🏿

View attachment 2850037
Aisee tuombe uzima mdogo angu; naamini kuna siku tutakaa meza moja na kuongea kwa kirefuuu. Mungu aendelee kuibariki na kuitunza familia yako. Keep on enjoying your marriage; and rejoicing in the man of your youth
 
Heaven Sent alikua na mchango positive sana hapo awali, ulikua ukisoma comment yake lazima uirudie mara mbili mbili, sikumbuki ule uzi lakini kuna jinsi alinijibu ile comment nili screenshot bahati mbaya simu hizi hatudumu nazo.
Ubarikiwe sana Heaven Sent mpo wachache sana ambao jamii haikosi kujivunia kwa ajili yen
Happy birthday, zidi kuwa jinsi ulivyo na Mungu akubarikie sana.
Jamani naamini nilikujibu vizuri eeh (positive). Nashukuru sana @Pendaelli🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom