Happy Birthday Davet[emoji847]

Happy Birthday Davet[emoji847]

Keki nyingine hii davet
46889984_814726272200060_8840015732246413418_n.jpg
 
Hussein bolt wetu yule hawez rudi mpaka mwezi ujao tushasahau kila kitu ndo tutamuona kule home sweet home
Kawaida yake hiyo. Unafikiri kuzinduliwa mchezo? Inabidi uwe na roho ngumu espeshale kama ulikuwa umefanya daivesifikesheni ofu yua investimentisi (ifu yu no whataimini). Atarudi tu na maneno kibao [emoji16][emoji16][emoji16]

#BringBackBaeWaUzi# [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Ha ha ha ha duh
 
Japo umechelewa kusema ila sio mbaya hata sasa hivi[emoji4]. Katika watu ninao shukuru kuwafahamu ni wewe, rafiki yangu kipenzi. Nakuchuniaga ila huninunii hata[emoji847] nashukuru kwa hilo kipenzi and your always there kila ninapokuhitaji ahsante.

Mwenyezi Mungu akubariki,akupe maisha marefu na mazuri. Nakupenda sana[emoji8][emoji8]

Happy Birthday once again Babe. Have a blast.[emoji1635][emoji898]
Davet
Kwanza nitangulize samahani kwa kukawia kutoa shukrani zangu juu ya hili jambo ulilofanya, umenishtukiza sana pia nimefurahi sanaaaaaaaaa.......

Asante sanaaaaaaaaaaaaa tena sanaaaaaaaaaaaaaaa...

Nakupenda pia ata wewe unajuaga
 
Back
Top Bottom