Kumbe. Basi Leo popote ulipo nitakutetea pizzaNipo Dodoma dear sster
deka mama ukitambaa tunakuacha unaenda mwenyewe.. bora udeke ukiwa bado kachangaBadooo nadeka deka tuuu
Roho mbaya nifungulie mm sina ugomvi naweHahahahha pole na sikufungulii ng'oti
Heheeeee ulinipa mwenyewe ila kwa id nyingine nilikuombaAliyekupa mwambie akufungulie
Sawa.Iambie ikufungulie yenyewe
Sasa nimeamini hapa JF wanawake wanaojipigia debe kumbe mh!!!!! Nasubiri nipate picha ya Mama Sabrina nione kama huyo msomali yumo au la