Happy birthday Demiss Chamdekoo a.k.a Miss chitchat 2018

Ndiooo. [emoji23] [emoji23]

Si wajua tena umenizowesha avatar za vipotabo sasa kuweka mdada ana mwili jumba mkubwa kiasi hicho dada yako nimebumbuwazika ujue. [emoji12] [emoji12]
Hahahaha nimebadilika alafu nimeambiwa ninenepe na shemeji yako maana kaniambia atanipenda milele
 
Happy birthday chamdeko mke ya Mganga wa Kienyeji mwenye nyota yake katika ukanda wote wa JF.

Nakutakia maisha marefu yasiyokuwa na ncha japo hakuna marefu yasiyokuwa na ncha.

Wakati umefungua ukurasa huu mpya wa safari ya maisha fungua pia ukurasa mpya wa kuishi na watu kwa wema katika jamii inayokuzunguka.....

NB: Usidhani nishasahau ulivyokula nauli niliyokutumia na nilikusubiri hadi mdomo wangu ukabaki wazii(in Ushimen voice)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…