Happy birthday Demiss Chamdekoo a.k.a Miss chitchat 2018

Hahahaaa. Sio kujipandisha presha Sesten sababu kikawaida mnapenda kila maumbo.

Yaani kama Hajar ni kafupi na kanene basi ujue lazima ukatafute mrefu aliye mwembamba naye. [emoji12]
Sasa nimesha elewa Hajar, ule msemo wa "Utamaliza mabucha nyama ni ileile" utakuwa ulitolewa na muhenga wa kike ule. Maana sio kwa kutunanga huko aisee. Yaani nikiwa na mweupe eti nitatafuta black, hahhaaa mnatuonea banaπŸ˜ŽπŸ˜ŽπŸ˜›
 
Hahahahhaha hivi una nini lakini kweli ile laki moja bado unanidai wakat nimesema ya zamani yaisheee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…