Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
😀😀😀Hahaaaa. Sawa mdogo wangu ila Me hawakawiii waeza shangaa ana kamchepuko kembambaaaa. [emoji23] [emoji23]
CC. Shemeji Mshana. [emoji41] [emoji41]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀Hahaaaa. Sawa mdogo wangu ila Me hawakawiii waeza shangaa ana kamchepuko kembambaaaa. [emoji23] [emoji23]
CC. Shemeji Mshana. [emoji41] [emoji41]
Ndio Sesten [emoji85] [emoji85]
Mnatudhania sana tunawasaliti ! Mnajipandisha pressure mjue😉😎Ndio Sesten [emoji85] [emoji85]
Hahahaaa. Sio kujipandisha presha Sesten sababu kikawaida mnapenda kila maumbo.Mnatudhania sana tunawasaliti ! Mnajipandisha pressure mjue😉😎
Mdomo mwekundu kama yenyewe [emoji85][emoji131][emoji176][emoji175][emoji177][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182]
Ahsante mdogo wanguAsante my dada kipenzi
Sasa nimesha elewa Hajar, ule msemo wa "Utamaliza mabucha nyama ni ileile" utakuwa ulitolewa na muhenga wa kike ule. Maana sio kwa kutunanga huko aisee. Yaani nikiwa na mweupe eti nitatafuta black, hahhaaa mnatuonea bana😎😎😛Hahahaaa. Sio kujipandisha presha Sesten sababu kikawaida mnapenda kila maumbo.
Yaani kama Hajar ni kafupi na kanene basi ujue lazima ukatafute mrefu aliye mwembamba naye. [emoji12]
Hahahahhaha hivi una nini lakini kweli ile laki moja bado unanidai wakat nimesema ya zamani yaisheee.Happy birthday chamdeko mke ya Mganga wa Kienyeji mwenye nyota yake katika ukanda wote wa JF.
Nakutakia maisha marefu yasiyokuwa na ncha japo hakuna marefu yasiyokuwa na ncha.
Wakati umefungua ukurasa huu mpya wa safari ya maisha fungua pia ukurasa mpya wa kuishi na watu kwa wema katika jamii inayokuzunguka.....
NB: Usidhani nishasahau ulivyokula nauli niliyokutumia na nilikusubiri hadi mdomo wangu ukabaki wazii(in Ushimen voice)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]