Happy birthday Demiss Chamdekoo a.k.a Miss chitchat 2018

Happy birthday Demiss Chamdekoo a.k.a Miss chitchat 2018

Hahahaaa. Sio kujipandisha presha Sesten sababu kikawaida mnapenda kila maumbo.

Yaani kama Hajar ni kafupi na kanene basi ujue lazima ukatafute mrefu aliye mwembamba naye. [emoji12]
Sasa nimesha elewa Hajar, ule msemo wa "Utamaliza mabucha nyama ni ileile" utakuwa ulitolewa na muhenga wa kike ule. Maana sio kwa kutunanga huko aisee. Yaani nikiwa na mweupe eti nitatafuta black, hahhaaa mnatuonea bana😎😎😛
 
Happy birthday chamdeko mke ya Mganga wa Kienyeji mwenye nyota yake katika ukanda wote wa JF.

Nakutakia maisha marefu yasiyokuwa na ncha japo hakuna marefu yasiyokuwa na ncha.

Wakati umefungua ukurasa huu mpya wa safari ya maisha fungua pia ukurasa mpya wa kuishi na watu kwa wema katika jamii inayokuzunguka.....

NB: Usidhani nishasahau ulivyokula nauli niliyokutumia na nilikusubiri hadi mdomo wangu ukabaki wazii(in Ushimen voice)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahahahhaha hivi una nini lakini kweli ile laki moja bado unanidai wakat nimesema ya zamani yaisheee.
 
Back
Top Bottom