Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Vyuma my kaka ndio vinanificha.Mimi sijambo kabisaaaa, umejificha sana bwana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vyuma my kaka ndio vinanificha.Mimi sijambo kabisaaaa, umejificha sana bwana!
Mweeeh poleee.....ndiyo ukubwa huo!!Vyuma my kaka ndio vinanificha.
Huh!!! Kwahiyo ndio umemaliza hivyoo jamani!!!Mweeeh poleee.....ndiyo ukubwa huo!!
Nimekupa pole jamaniiii.....Huh!!! Kwahiyo ndio umemaliza hivyoo jamani!!!
Haya bwana.Nimekupa pole jamaniiii.....
Ndiyo ukubwa huo dada yangu.
Wote vyuma vimetukazia hapa mweeeh!
Mweeeh,Haya bwana.
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Unastahili Chamdeko, unastahili mama
Asante bibi jamaniHBD mjukuu cha mdeko[emoji8] [emoji8]
Naisubiri kwa hamuuuuHappy Birthday mdogo wangu wa nguvu....
Anko akimaliza mnada atakuletea zawadi na maini.
Jamani hahahhaha urefu ngoja nipimee uzito 65 kgHappy birthday chamdeko, sijajua zawadi ya kukupa me nitonye uzito wako na urefu wako nitajua nakupa nini!..
Naona kaenda kuongeza Dr kwa mbele, hongera Dr. Kalumanzila 🙂
Asanteeee dada akeeeeHeri ya mwaka mwingine muke ya mshana
Waoooh asante uwe na moyo huo huo my x wangu wa kaleeeeHappy Birthday Demu wangu wa zamani ( God Plz, Mshana Jr asiione hii)... I wish you more 150 years to live in happiness hadi nanii ichakae kabisa!!!
Asante mremboo jje'sMungu akutunze na kukuongezea miaka mingi yenye amani na furaha
Hbday dear
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umeanza kumpeperushia ndege mwenzioUshaanza... huu ni uzi wa kumtakia Birthday Demiss na sio wa kutafuta mambo yenu yale...!!!
Hahahah babu wewe ni janja janjaHahahaha,
Chige mimi kibabu sina madhara bwana!
Namtakia kheri ya kuzaliwa binti yangu Demiss