Happy Birthday Depal

Happy Birthday Depal

Kuna vitu Kuna ishu Mwanaume hutakiwi kabisa kuzijua Wala kuzifanya.

Kwamfano Mimi mambo ya Birthday siyajui kabisa Hata Tarehe ya kuzaliwa natamani Ingefutika kabisa KICHWANI.

Mwanaume MZIMA unasherekea.
Haya ni mambo ya Wanawake.

AMA KWELI WANAUME TUNAPUNGUA KWA KASI KUBWA SANA.
Mzee usitake kila mtu awe kama ww au kila kitu mtu akifanya anakuwa sio mwanaume hizo ni mawazo ya kishamba punguza makasiliko mdogo wangu utakufa

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
wooow'.....
a very happiest birthday to you my girlie...
Have a blast babes...!!🥳🥳
Lovesh you totoo..!!😍😍
 
Happy [emoji512][emoji512][emoji512] dada mzurii
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182]
Ishi sanaaa, huna bayaa.
Depal
 
Ninaye rafiki hapa jamvini ambaye sijawahi kuonana naye wala kusikia sauti yake lakini tunawasiliana kupitia PM.

Ninamtakia heri ya kumbukizi ya siku yake ya kuzaliwa. Naamini kwa wema wa Mungu ipo siku ataachia namba niweze kumuendea hewani.

Happy Birthday Depal , ishi maisha marefu yenye afya na furaha tele.
kwa kwel Depal sijawhi kumwona lakin ana hulka za kuwa ni binti mrembo sana,eeh mcheeshi kiasi body si haba hata mm kwa kwel au basi tu🤓
 
Back
Top Bottom