myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Safiiii sanaDepal nimekuzawadia range njoo kesho palm village saa 10 mchana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3059]View attachment 2495761
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safiiii sanaDepal nimekuzawadia range njoo kesho palm village saa 10 mchana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3059]View attachment 2495761
Mzee usitake kila mtu awe kama ww au kila kitu mtu akifanya anakuwa sio mwanaume hizo ni mawazo ya kishamba punguza makasiliko mdogo wangu utakufaKuna vitu Kuna ishu Mwanaume hutakiwi kabisa kuzijua Wala kuzifanya.
Kwamfano Mimi mambo ya Birthday siyajui kabisa Hata Tarehe ya kuzaliwa natamani Ingefutika kabisa KICHWANI.
Mwanaume MZIMA unasherekea.
Haya ni mambo ya Wanawake.
AMA KWELI WANAUME TUNAPUNGUA KWA KASI KUBWA SANA.
Saa kumi haijawahi kuwa mchanaDepal nimekuzawadia range njoo kesho palm village saa 10 mchana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3059]View attachment 2495761
kwa kwel Depal sijawhi kumwona lakin ana hulka za kuwa ni binti mrembo sana,eeh mcheeshi kiasi body si haba hata mm kwa kwel au basi tu🤓Ninaye rafiki hapa jamvini ambaye sijawahi kuonana naye wala kusikia sauti yake lakini tunawasiliana kupitia PM.
Ninamtakia heri ya kumbukizi ya siku yake ya kuzaliwa. Naamini kwa wema wa Mungu ipo siku ataachia namba niweze kumuendea hewani.
Happy Birthday Depal , ishi maisha marefu yenye afya na furaha tele.
Hallelujah😂😂😂. Naamini kwa wema wa Mungu ipo siku ataachia namba niweze kumuendea hewani
Thanks sana rafiki,, mtu poa sana weye.Ninaye rafiki hapa jamvini ambaye sijawahi kuonana naye wala kusikia sauti yake lakini tunawasiliana kupitia PM.
Naomba funguo nizikute kwa Lenie 😂😂Depal nimekuzawadia range njoo kesho palm village saa 10 mchana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3059]View attachment 2495761
Thank you sweet sweetHappy birthday D