Happy Birthday Depal

Happy Birthday Depal

Mtoto ana jicho hilo,
Dimpoz Mashallah
Kapua kadogo utadhani havuti hewa
Rangi mnyoosho, haisikii tabu za ulimwengu
Sikio lenye kukubali hereni mpaka mabangili
Nywele fupi zinampendeza, zisizo kipilipili
Shingo nyoofu inayokubali cheni za kila aina

*****, Naomba namba aisee
Pisi kali imekamilika kila idara
Na jinsi anavyokua ndio anazidi kuwa mrembo 🥰

Namba njoo nikupe
 
Mtoto ana jicho hilo,
Dimpoz Mashallah
Kapua kadogo utadhani havuti hewa
Rangi mnyoosho, haisikii tabu za ulimwengu
Sikio lenye kukubali hereni mpaka mabangili
Nywele fupi zinampendeza, zisizo kipilipili
Shingo nyoofu inayokubali cheni za kila aina

Mamaeee, Naomba namba aisee
Page!!!! 😂😂😂😂😂😂
 
Deboh ukija Green city kwenye ile road trip yako, usisahau kunicheck hapa Nsalaga/Uyole
 
Back
Top Bottom