Happy Birthday Depal

Happy Birthday Depal

Kuna bazazi kule juu amesema atamhonga RangeRover Sports..... Ananikata stimu kweli😂

Natamani kumuona binti alivyo walah maana namsoma tu
daah ushindani ni mkubwa sana,
sema mi nitampa nissan maxima itamfaa mrembo Depal
2019-nissan-maxima-13-1543443384.jpg
 
miss paul laswai debra.... sijajua kama kumbukumbu zangu zipo vizuri niliona jina lako mahali.. ishi sanaaa
 
Kuna bazazi kule juu amesema atamhonga RangeRover Sports..... Ananikata stimu kweli😂

Natamani kumuona binti alivyo walah maana namsoma tu
Mi sio bazazi ni KIDUME mkuu💩

😠😠😠

We unamwonaje depal
 
Kwa hiyo ulijua kabisa dadako sina hata mia ya kukununulia kamvinyo[emoji485]sio??
Anyway unajua dadako nakupenda hivyo hivyo na maringo yako[emoji3590]
Nakutakia maisha yenye mafanikio makubwa kwenye nyanja zote za kimaisha, zaidi sana upate maheraaa nikija A town tuishi[emoji12]

HBD mrembo wangu@Depal[emoji512][emoji1635]
 
Back
Top Bottom