Happy Birthday Depal

Happy Birthday Depal

Kuna vitu Kuna ishu Mwanaume hutakiwi kabisa kuzijua Wala kuzifanya.

Kwamfano Mimi mambo ya Birthday siyajui kabisa Hata Tarehe ya kuzaliwa natamani Ingefutika kabisa KICHWANI.

Mwanaume MZIMA unasherekea.
Haya ni mambo ya Wanawake.

AMA KWELI WANAUME TUNAPUNGUA KWA KASI KUBWA SANA.
Acha kabisa inasikitisha sana asee
 
Me najuaga dimples za mashavuni tu, kumbe kuna hadi za kwenye wezere?
Ndio nafahamu leo hii

Nasubiri ruhusa yake, akikubali nikuonyeshe hizo dimples zake
🤣🤣🤣🤣
 
Kwa hiyo ulijua kabisa dadako sina hata mia ya kukununulia kamvinyo[emoji485]sio??
Anyway unajua dadako nakupenda hivyo hivyo na maringo yako[emoji3590]
Nakutakia maisha yenye mafanikio makubwa kwenye nyanja zote za kimaisha, zaidi sana upate maheraaa nikija A town tuishi[emoji12]

HBD mrembo wangu@Depal[emoji512][emoji1635]
Oooza Waseme maharage njegere
 
Back
Top Bottom