Happy birthday Donatila

Habari wakuu

Leo ni siku yangu ya kuzaliwa...

Namshukuru Mungu kwa mwaka mwingine...

Nina maswali kidogo...

Hivi siku ya kuzaliwa ni muhimu kusherehekea?

Na kama ni muhimu kwanini?
Happy birthday mlokole.

Sio muhimu kusheherekea sana, ni siku ya kukukumbusha ya kuwa ulikuja hapa kwa makusudi maalumu, na kuna mawili: uweke historia nzuri au historia mbaya.

Tumia siku hii kujievaluate then songa mbele.
 
Muhimu sana kusherekea, maana ni siku ambayo pia malango ya rohoni hufungukwa kwa ajiri yako ( yanayo husika na wewe ).. kama vile siku unazaliwa kuna portal hufunguka .. ilo lango kila siku yako ya kuzaliwa huwa wazi pia... tualike basi mwana
Malango yanafunguliwa kiroho au?
 
Kumbukizi ya siku ya kuzaliwa ni jambo la maana sana kiroho.

Halafu mara nyingi mkubwa huwa hafanyi sherehe kwenye siku kama hiyo bali huweka au kutengeneza kitu chenye kumbukumbu,kama

1.kuhamia makazi mapya

2.kujinunulia vitu vidogo vidogo kama TV,friji,PC n.k

3.kusamehe na kumuomba msamaha uliyewahi mkwaza (hawawezi kuwa wote)

4.kutambulisha (kutambulishwa)na rafiki au mpenzi mpya.

Yapo mambo mengi ya kufanya kwenye siku ya kuzaliwa si lazima makopakopa, kula na kunywa.

Happy birth day Donatila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…