Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Happy birthday mlokole.Habari wakuu
Leo ni siku yangu ya kuzaliwa...
Namshukuru Mungu kwa mwaka mwingine...
Nina maswali kidogo...
Hivi siku ya kuzaliwa ni muhimu kusherehekea?
Na kama ni muhimu kwanini?
Amina...sawasawaHappy birthday mlokole.
Sio muhimu kusheherekea sana, ni siku ya kukukumbusha ya kuwa ulikuja hapa kwa makusudi maalumu, na kuna mawili: uweke historia nzuri au historia mbaya.
Tumia siku hii kujievaluate then songa mbele.
Nitaweka uzi na mimi panapo uzima😊🤗na wewe team july??
sema nikutumie zawadi😁
Chamsingi ufurahi tu,, umshukuru Mungu basi hizo nyingine mbwembwe tu kipenzi 😊🤗mi sipendi masherehe[emoji23]
Malango yanafunguliwa kiroho au?Muhimu sana kusherekea, maana ni siku ambayo pia malango ya rohoni hufungukwa kwa ajiri yako ( yanayo husika na wewe ).. kama vile siku unazaliwa kuna portal hufunguka .. ilo lango kila siku yako ya kuzaliwa huwa wazi pia... tualike basi mwana
nyota yetu ya simbaHappy birthday to you[emoji3590]
Team July
Ungesubiri siku kafhaa tungeruka wote[emoji126]