Nakushukuru kwa kila kitu na Mungu akuzidishie , wewe ni zawadi kutoka kwa Mungu , na wala hakuna maneno ya kutosha ya kukuelezea , tunachoweza kufanya ni kumshukuru tu Mungu kwa zawadi hii kwa Watanzania .

 
Happy Birthday Freeman Aikaeli Mbowe.

Kwetu tunamfahamu kama mwana wa Mwalimu Nyerere.
 
Hbday mwamba,
Whozu akae pembeni kidogo leo ni zamu ya Mwamba
 
Huyu ni adui wa Tanzania. Lakini I wish him Happy Birthday.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…