Dahafrazeril
JF-Expert Member
- Jul 28, 2015
- 1,500
- 2,058
Happy Birthday...
Happy birthday
Happy Birthday
Nimewasiliana na na Abdallah Mwaipaya pia kakuwish sana birthday njema
[emoji28]
Live long bro
Happy Birthday Mkuu Gentamycine, Mungu akupe maisha marefu yenye furaha na Baraka Amen
Happy birthday mkuu.
Mungu akupe afya njema kila siku tuzidi kufaidi michango yako
Sabalkheri!!.
Nianze kwa kuwaomba radhi kwa kuwa-quote wishing zenu za Siku ya kuzaliwa kwa GENTAMYCINE .Kuna suala fulani la msingi sana kwangu (Nb;Kwako laweza kuwa la kipuuzi) ambalo huwa najiuliza mara nyingi sana haswa ninapowasikiwa watu wakitakiana heri ya siku ya kuzaliwa kwa aidha kutimiza miaka fulani nk.
Swali langu lipo hivi, "Siku ya kuzaliwe kwa yeyote,Je pongezi haswa ziende kwa nani?.Kwa mtoto au kwa Mama mzazi (Biological mother) wa mtoto?.
Karibuni sana,Majibu ya Mantiki (Logic) fafwadhali.