Happy Birthday GENTAMYCINE

Happy Birthday GENTAMYCINE

Happy Birthday...
Happy birthday
Happy Birthday
Nimewasiliana na na Abdallah Mwaipaya pia kakuwish sana birthday njema
[emoji28]
Live long bro
Happy Birthday Mkuu Gentamycine, Mungu akupe maisha marefu yenye furaha na Baraka Amen
Happy birthday mkuu.
Mungu akupe afya njema kila siku tuzidi kufaidi michango yako

Sabalkheri!!.

Nianze kwa kuwaomba radhi kwa kuwa-quote wishing zenu za Siku ya kuzaliwa kwa GENTAMYCINE .Kuna suala fulani la msingi sana kwangu (Nb;Kwako laweza kuwa la kipuuzi) ambalo huwa najiuliza mara nyingi sana haswa ninapowasikiwa watu wakitakiana heri ya siku ya kuzaliwa kwa aidha kutimiza miaka fulani nk.

Swali langu lipo hivi, "Siku ya kuzaliwe kwa yeyote,Je pongezi haswa ziende kwa nani?.Kwa mtoto au kwa Mama mzazi (Biological mother) wa mtoto?.

Karibuni sana,Majibu ya Mantiki (Logic) fafwadhali.
 
Haaaaaaahaaaaaa Iceman usimchonje mwenzio Mwaipaya hawezi kumwish hyu anamuona co siri za studio kazitoa nje!
Hahahaha
Jamaa leo kamchomea mwenzie halafu ukute walikuwa bado hawaja maliza wako kwa process. Mr ABD atakuwa ka mind kweli
 
Kwa mama
 
Hahahaha
Jamaa leo kamchomea mwenzie halafu ukute walikuwa bado hawaja maliza wako kwa process. Mr ABD atakuwa ka mind kweli
Hz ishu za mkeo anaingia shift na mfanya kazi mwenzie wa kiume bc tu tutafanyaje ila co salama kabsaaaaa kati ya me na ke(toa kaka na dada,mama na mwana) watatu wao huwa ni shetani kifuatacho nadhani cna haja ya kujaza server!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kifuatacho ndio kama kina ABD.

Ila ni kweli, japo sio poa sana kuanzisha relations kazini, mi huwa naonaga its odd
 
Fafanua kidogo Mkuu.Kwanini kwa Mama?.
Since mama anakutunza miezi 9 tumbo ni,hujui aliumwa nini au alipitia kipindi kigumu kiaso gani when she let you be the human in the earth. After Hapo tena inakuka process ya kulea mtoo,kulea mimba si kazi kazi kulea mtoto. Hujui umeumwa na kutibiwa Mara ngapi? Ulikuwa unakula nini?unavaa nini na unalala wapi ni hesabu za mama. Umekua na kuanza kujielewa unaenda shule mpaka kufikia Hapo uliko,you can't count the cost per action. Mama ni mama
 
Oya mnanizingua kwani hapa nimesema Happy Birthday GENTAMYCINE au nimesema Happy Mothers Day? Acheni upuuzi tiririkeni na mada husika kama ni masuala ya Mama na hayo mnayoyasema anzisheni uzi wenu. Mnanikera japo leo ni Birthday yangu.
 
Haaaaaaahaaaaaa Iceman usimchonje mwenzio Mwaipaya hawezi kumwish hyu anamuona co siri za studio kazitoa nje!

Mnaonaje haya ya Wewe na mwenzio huyo mkayachangie kule katika Uzi maalum niliouanzisha wa Watangazaji wa Radio One Abdallah Mwaipaya na Farhia Middle na katika uzi huu muache mantiki yake nzima ibaki? Mnapokuja na hoja za mada nyingine katika Mada ya Birthday yangu mnataka niwaeleweje? Acheni Uswahili tafadhali na tuheshimiane tafadhali. Mwambie na mwenzio pia huu ujumbe. Shukran!
 
Mkuu happy birthday japo ungetisha zaidi kwa kurushia na tupicha tuone umekata keki na kina nani[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
 
Dear Valued Member GENTAMYCINE,

It’s time to get happy! We at JamiiForums would love to wish you all the best on your birthday and everything good in the year ahead and forever.

Happy Birthday!

Akhsanteni sana JAMIIFORUMS wote na kama Kampuni kwa kunitakia Kheri ya siku yangu hii nzuri kabisa ya kuzaliwa. Post yenu hii kama Wamiliki imenifanya nijisikie furaha ya ajabu mno. Mbarikiwe nyote kuanzia Wafanyakazi na Waanzilishi wote wa Mtandao wenu mzuri na ambao ninaupenda hadi nikiukosa nahisi kuchanganyikiwa.

Tupo pamoja sana JAMIIFORUMS na NINAWAPENDA na NITAWAPENDA hadi pale nitakapoingia Kaburini miaka 100 ijayo.

Mwaaaaaaaaaaaaaah........ JamiiForums na pokeeni busu langu hilo la Upendo wangu mkubwa uliotukuka Kwenu nyote hapo mlipo.
 
Back
Top Bottom