Hapo lazima kieleweke, keki lazima na vyoda pia lazima ninywe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]haha leo huli keki halafu maan ndo ilokuwahisha
[emoji23][emoji23]anaekuhurumia hayupo leo ujue hakikisha unakuja nae tu la sivyooo ngoja nikuitie Hajar njoo huku dadaHapo lazima kieleweke, keki lazima na vyoda pia lazima ninywe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani hapo itakuwa ni mwendo wa mwaga mboga nimwage ugali...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nakungojea mwakani tena InshaallahDavet lazima nifaidi kwanza mimi maana ile siku ya birthday yangu mlinipora keki yangu yote kama vile sikuwa muhusika.
Leo lazima nilipe kisasi
Hahaha karibu uzeeni..tutaelewana tu na uzee wetuAhsante sana Mwanajangwani Mwenzangu.
Ila ndio nazeeka hivyo. [emoji12] [emoji12]
Hahahhaa me yangu bado ujue au ni swaum imekukamata mapema yote hii,heri ya mfanano wa siku ya kuzaliwa means s alizaliwa tarehe kama ya leo? Ndio mfanano huohappy birthday to you Le madame...! mungu akufanikishie kila hitaji la moyo wako na akurefushie maisha milele na milele ( teh au sijaelewa hapo kwenye mfanano kiswahili nilifeligi mwenzio))
Cc Smart911
Leo nimejipanga mwenyewe nahakikisha nafaidi kama mlivyofaidi ninyi siku ile..[emoji23][emoji23]anaekuhurumia hayupo leo ujue hakikisha unakuja nae tu la sivyooo ngoja nikuitie Hajar njoo huku dada
Leo mimi ni mwenyekiti na kama mnavyojua waliotop kiuongozi ndio wanaofaidi sana...Ahsante sana KIOO rafiki mchokozi wa Hajar sababu hii leo kwangu limekuwa bonge la Suprise aiseee.
Ubarikiwe mno mno rafiki najua kuna vingi mno ambavyo tunaendana na ndio sababu damu zetu zikaendana kiasi hiki. Be blessed rafiki.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Hahahhaa me yangu bado ujue au ni swaum imekukamata mapema yote hii,heri ya mfanano wa siku ya kuzaliwa means s alizaliwa tarehe kama ya leo? Ndio mfanano huo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani nacheka nikikumbuka ile siku duu tulikufanyia vitukoLeo nimejipanga mwenyewe nahakikisha nafaidi kama mlivyofaidi ninyi siku ile..
Hahaha au labda mie ndio sjaelewa swaum kali mana hua naelewa hivo me yangu bado had oct huko kama nitafikaHahahahaha.... swaumu bado bado mida yake... kiswahili kigumuu shoo lol kumbe.....!!nikajua nawe wazaliwa leo mamy kweli elimu haina mwisho leo nimeongeza kitu.. asante..
cc Smart911
Amin inshallah enjoy your day, may your life filled with joy and laughter, Allah akupe kila lenye heri na wewe akuzidishie baraka tele ulitakalo akalitimize pas na kuweka pazia aminAhsante sana Mumy. Nimefurahi sana kulijua hilo.
Allah azidi kutubariki kila Uchwao. [emoji120] [emoji120] [emoji120]