Happy Birthday Hajar

Happy Birthday Hajar

Davet lazima nifaidi kwanza mimi maana ile siku ya birthday yangu mlinipora keki yangu yote kama vile sikuwa muhusika.

Leo lazima nilipe kisasi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nakungojea mwakani tena Inshaallah
 
happy birthday to you Le madame...! mungu akufanikishie kila hitaji la moyo wako na akurefushie maisha milele na milele ( teh au sijaelewa hapo kwenye mfanano kiswahili nilifeligi mwenzio))



Cc Smart911
Hahahhaa me yangu bado ujue au ni swaum imekukamata mapema yote hii,heri ya mfanano wa siku ya kuzaliwa means s alizaliwa tarehe kama ya leo? Ndio mfanano huo
 
Ahsante sana KIOO rafiki mchokozi wa Hajar sababu hii leo kwangu limekuwa bonge la Suprise aiseee.

Ubarikiwe mno mno rafiki najua kuna vingi mno ambavyo tunaendana na ndio sababu damu zetu zikaendana kiasi hiki. Be blessed rafiki.

[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Leo mimi ni mwenyekiti na kama mnavyojua waliotop kiuongozi ndio wanaofaidi sana...

Jiandaeni kwa lolote litakalotokea[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahahhaa me yangu bado ujue au ni swaum imekukamata mapema yote hii,heri ya mfanano wa siku ya kuzaliwa means s alizaliwa tarehe kama ya leo? Ndio mfanano huo

Hahahahaha.... swaumu bado bado mida yake... kiswahili kigumuu shoo lol kumbe.....!!nikajua nawe wazaliwa leo mamy kweli elimu haina mwisho leo nimeongeza kitu.. asante..

cc Smart911
 
Ahsante sana Mumy. Nimefurahi sana kulijua hilo.

Allah azidi kutubariki kila Uchwao. [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Amin inshallah enjoy your day, may your life filled with joy and laughter, Allah akupe kila lenye heri na wewe akuzidishie baraka tele ulitakalo akalitimize pas na kuweka pazia amin
 
Kwanza tumshukuru mungu kwa kutoa kibali kwa wazazi wako ukapatika wewe kipenzi cha watu

Pili tuishukuru jamii kwa malezi waliyo kupatia

Tatu ni kushukuru wewe kwa kuwa mmoja wa wanao wajali wengine kama unavyo jijali

Nne endelea kuwa na upendo kwa watu wote wakubwa kwa wadogo

Kumbukuka kila anaeleta chukizo kwako ni moja ya jaribu unalo takiwa kulipia

Mwisho nikitakie siku yako ya kuzaliwa na mungu akupe miaka mingi zaidi ili ujifunze mengi na wengine wajifunze kutoka kwako
 
Back
Top Bottom