Happy Birthday Hajar

Happy Birthday Hajar

Ahsante sana rafiki wa Hajar sio siri nimefarijika kwani umeonyesha ni jinsi gani unamjali rafiki yako aisee sababu sikutegemea kukuona huku kwa hali uliyo nayo sasa rafiki.

Amiin Insha Allah na iwe hivyo siku zote rafiki.

Ugua pole bana rafiki Allah azidi kukupa nguvu zaidi ya hapo Insha Allah.

[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Usijari rafiki tupo pamoja...... badae
 
Back
Top Bottom