[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] basi basiiiiii nitumie msgharrier nyeusi,duka la simu mtaa wa ag****y
[emoji23] [emoji23] [emoji23] bado unalakusema??
Aliruhusu salamu tu ujuehahaha yey jukumu lake si nikishakua ndio ananibebisha,sasa hivi mimi kachanga
HaujamboHahahaha
Hongera sana bro
Mungu awajaaliye mpate watoto wengi
Na hela mingi mingi
Mi sijamboHaujambo
HahahahhaAsanye shem...naomba maziwa[emoji23]
Kweli wengi tu wanajua sipo huko dasilamu hata ukisoma comments utaonaMh, uchoyo .com
Hahaha kwa hyo mtoto hapewi nyonyo,[emoji23] [emoji23] basi niletee hata cerelakAliruhusu salamu tu ujue
Wa mwisho Ndio Mshindi....Boss lazima niwe mwisho
Hapo kwenye hela ubarikiwe sana, watoto wapo tu[emoji23] [emoji23]Hahahaha
Hongera sana bro
Mungu awajaaliye mpate watoto wengi
Na hela mingi mingi
HahahahahaHapo kwenye hela ubarikiwe sana, watoto wapo tu[emoji23] [emoji23]
Niko sijambo piaMi sijambo
Wewe je?
Basi sauwaaKweli wengi tu wanajua sipo huko dasilamu hata ukisoma comments utaona
Maeneo ya kinyerezi unayajua vizuri??Basi sauwaa
Wachaga na pesa mkuuHahahahaha
Maan!! Umetisha sana hapo
Tumepoteana sku hiziNiko sijambo pia
Ndo nakoishi mimiMaeneo ya kinyerezi unayajua vizuri??
Kweli aisee, ninabanwa sana na muajiri wkdays so wkend ndo kidogo napata muda wa kuzurura humuTumepoteana sku hizi
Unakuwa wap?
unapajua wastaafu,,sio bar wala pub,nisehemu vijana wanakutana kula nyama na biaNdo nakoishi mimi
Ngoja anipe maagizo kama nilete au la [emoji23]Hahaha kwa hyo mtoto hapewi nyonyo,[emoji23] [emoji23] basi niletee hata cerelak
PoleKweli aisee, ninabanwa sana na muajiri wkdays so wkend ndo kidogo napata muda wa kuzurura humu