Zuriel_cfc
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 4,092
- 9,063
Sipajui eti, kinyerezi mwisho au pande zpunapajua wastaafu,,sio bar wala pub,nisehemu vijana wanakutana kula nyama na bia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sipajui eti, kinyerezi mwisho au pande zpunapajua wastaafu,,sio bar wala pub,nisehemu vijana wanakutana kula nyama na bia
Kwenye lile jengo jeupe ambalo watu wanasemaga ni la ridhiwani unapajua??Sipajui eti, kinyerezi mwisho au pande zp
Duh, hongera sana....Pole
Mwenzio muajiri wangu hadi huwa tuna discuss mada za jf
Basi nimefurahi kukuona lakini
Rafiki umeshaanzishiwa thirendi au bado?[emoji53][emoji53][emoji53]....kwenye suala la thirendi naona wenzako wanapata green light ila wewe ni red light![emoji53]Pole
Mwenzio muajiri wangu hadi huwa tuna discuss mada za jf
Basi nimefurahi kukuona lakini
Anhaa ndio nshapajua, opposite na shule ya msingiKwenye lile jengo jeupe ambalo watu wanasemaga ni la ridhiwani unapajua??
Ndio ndio...sasa pale pana kajoint flan hivi kinaitwa wastaafu ukipita tu utakiona,pana kitimoto choma,chapati roast maini[emoji23] [emoji23] [emoji23]Anhaa ndio nshapajua, opposite na shule ya msingi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Rafiki umeshaanzishiwa thirendi au bado?[emoji53][emoji53][emoji53]....kwenye suala la thirendi naona wenzako wanapata green light ila wewe ni red light![emoji53]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Duh, hongera sana....
Mie pia nimefurahi kukuona pia. Msalimie Carba [emoji4][emoji4][emoji1]
Thirendi ni muhimu mkuu!....ila mimi nimeambiwa huko pm: "nani ana muda wa kukianzishia kinyago thirendi?!"[emoji53][emoji53][emoji53][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bro mi bado bila bile
Mwenzangu pia bado?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Thirendi ni muhimu mkuu!....mimi niliambiwa huko pm "nani ana muda wa kukianzishia kinyago thirendi?!"[emoji53][emoji53][emoji53]
Shukran mkuu, ubarikiweHeri ya mfanano wa siku ya kuzaliwa kipenzi cha Jolie Jolie. More life kwako
Karibu sana tupate mbili tatu....nitajie sumu yako niindae kabisa[emoji23]Heri ya mfanano wa siku ya kuzaliwa kipenzi cha Jolie Jolie. More life kwako
Nipo shem majukumu ya kujenga viwandaUmeadimika siku hizi chamdeko?
Sijui ndio umenipa talaka shem wangu
Nshapajua, si kwny zile frem mpyaNdio ndio...sasa pale pana kajoint flan hivi kinaitwa wastaafu ukipita tu utakiona,pana kitimoto choma,chapati roast maini[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ngoja nipitie leo nikajioneeNdio ndio...sasa pale pana kajoint flan hivi kinaitwa wastaafu ukipita tu utakiona,pana kitimoto choma,chapati roast maini[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haaaa hapana mkuu [emoji16][emoji16][emoji16]hapana kuna lingine unacheka umelificha tu. ila sawa tu.
[emoji3] [emoji3] ,Mkuu mimi natumia juice/soda vp si zitakuwepo ?Karibu sana tupate mbili tatu....nitajie sumu yako niindae kabisa[emoji23]
Poa poaAsante kwa niaba yake
Hahaha labda baltika[emoji3] [emoji3] ,Mkuu mimi natumia juice/soda vp si zitakuwepo ?