muda wa chai huu
HB hajitokezi itakua anatick mikekaHappy birthday handsome Hazard muzeeee ya kubet
KasafiriSasa nawewe si uende umuamshe uko....ebu muite aje bana
na nini?Unaibiwaaaaa
sabuni yatoshaWewe kama hauna mbebez wa kukubebisha upambane na hali yako tu
sabuni yatosha
We acha tu shunieMtoto wa kike umetiririka we hazard ole wako umuache binti wa watu utajuta
Happy birthday mbebez wa Jolie Jolie Yesu azidi kukulinda na kukutunza hiki ndio cha muhimu kuliko chochote naombeni location ya kuja kukata cake
sawa kakabembeleza ndoa haya mengine potezea kwa sasa.....full stop
Asante kwa niaba yakeHappy b'day.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] baelezeeWewe kama hauna mbebez wa kukubebisha upambane na hali yako tu
Asante kwa niaba ya mume wanguHappy born day mzee Baba hazard cfc mafanikio mema na mfanikishe Jolie Jolie kwenye shida zake pia na yeye asisahau kukufanikisha...
Tatizo hayupo tungeogelea leo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mla bata mwenzio
[emoji482] [emoji482] msikunywe sana leo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hbd kikojolezo cha jolie
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mambo jolieAsante kwa niaba ya mume wangu