Happy birthday hazard cfc

Happy birthday hazard cfc

Asante kipenzi changu,mwandani wangu,kichuna wangu,ini mkalia nyongo wangu,msiri wangu,my kila kitu wangu,chautundu wangu kwa kuikumbuka siku hii muhimu kwangu na kushare hapa nijumuike na familia yangu ya jf.....

Thanks so much for the wishes guys nitarudi baadae kumshukuru each and everyone alieniwish

One love
 
Kwanza kabla ya yote namshukuru Mungu,mama mkwe,na baba mkwe kwa kufanikisha wewe kuja duniani,naamini ulikuja kwa ajili yangu.Wewe ndo umekuwa siri yangu,wewe ndo kila kitu kwangu..najua nimewahi kukukosea lakini ninachojua hata wakati nakukosea bado ulikua mwanaume ninaekupenda,hakuna aliewahi kuzidi thamani yako,na nakuambia HATOTOKEA.
Vingine ni ubinadam tu lakin haina maana kuwa kuna m-bora zaidi yako,huenda katika ubinadamu huo huo mwingine angeshindwa na kunikatia tamaa,endelea kuniombea na kunielekeza pale ninapokosea.
Heri ya siku ya mfanano wa kuzaliwa kipenzi changu
Nakupenda sana mume wangu
Naona baada ya kupata rafiki 'Cha mdeko' umeamua na wewe dawa uzipe kipaumbele.
Umekwisha subiri mazishi yako.
 
Asante kipenzi changu,mwandani wangu,kichuna wangu,ini mkalia nyongo wangu,msiri wangu,my kila kitu wangu,chautundu wangu kwa kuikumbuka siku hii muhimu kwangu na kushare hapa nijumuike na familia yangu ya jf.....

Thanks so much for the wishes guys nitarudi baadae kumshukuru each and everyone alieniwish

One love
Kumbe mkuu ni kweli? Nilijua Dai na Zari tu.
 
Back
Top Bottom