Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unampamba tu umuibiena nini?
Happy birthday hazard cfc
kuna post nilitaka kuiweka leo kuwaponda wanaume na mambo ya bday ila naicha kwa leo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
enjoy your day dia
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Happy birthday hazard cfc
kuna post nilitaka kuiweka leo kuwaponda wanaume na mambo ya bday ila naicha kwa leo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
enjoy your day dia
na wewe umecheka?Akijibu unitag[emoji23]
Hivi yako lini? naomba tafsiri ya hiyo emoj.[emoji55]
ipi tena?Kuna kampo moja umesahau
Naona baada ya kupata rafiki 'Cha mdeko' umeamua na wewe dawa uzipe kipaumbele.Kwanza kabla ya yote namshukuru Mungu,mama mkwe,na baba mkwe kwa kufanikisha wewe kuja duniani,naamini ulikuja kwa ajili yangu.Wewe ndo umekuwa siri yangu,wewe ndo kila kitu kwangu..najua nimewahi kukukosea lakini ninachojua hata wakati nakukosea bado ulikua mwanaume ninaekupenda,hakuna aliewahi kuzidi thamani yako,na nakuambia HATOTOKEA.
Vingine ni ubinadam tu lakin haina maana kuwa kuna m-bora zaidi yako,huenda katika ubinadamu huo huo mwingine angeshindwa na kunikatia tamaa,endelea kuniombea na kunielekeza pale ninapokosea.
Heri ya siku ya mfanano wa kuzaliwa kipenzi changu
Nakupenda sana mume wangu
Ile siku Mteule amerudi...SpichilesiHivi yako lini? naomba tafsiri ya hiyo emoj.
Kumbe mkuu ni kweli? Nilijua Dai na Zari tu.Asante kipenzi changu,mwandani wangu,kichuna wangu,ini mkalia nyongo wangu,msiri wangu,my kila kitu wangu,chautundu wangu kwa kuikumbuka siku hii muhimu kwangu na kushare hapa nijumuike na familia yangu ya jf.....
Thanks so much for the wishes guys nitarudi baadae kumshukuru each and everyone alieniwish
One love
ngoja nianze kusoma misamiati migumu migumu.Ile siku Mteule amerudi...Spichilesi
Yako na husna[emoji41][emoji41][emoji41]ipi tena?