Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Woyooo..wacha kabisa,mapenzi mazito mazito sweetleeNtu na Ntu ake.
Happy birthday [emoji323]
Siunajua mtoto leo sijanyonya,naomba maziwa hata ya pakti kama unayo[emoji23] [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Woyooo..wacha kabisa,mapenzi mazito mazito sweetleeNtu na Ntu ake.
Happy birthday [emoji323]
asante Shem darlin, ninakiu nimezaliwa na njaa,naomba maziwa ninyonyeHappy birthday shem lake..Mungu wetu akutunze
aaaah wapUnaibiwaaaaa
Thank you!asnte rayna
andaa utumbo wakujaza alcohol
Mwanaume wa kweli haachi mamiiiMtoto wa kike umetiririka we hazard ole wako umuache binti wa watu utajuta
Happy birthday mbebez wa Jolie Jolie Yesu azidi kukulinda na kukutunza hiki ndio cha muhimu kuliko chochote naombeni location ya kuja kukata cake
pamoja mkuuHappy b'day.
AminNamuombea umri mrefu wenye mafanikio.
Pamoja mkuu jose, usiof mkuu shida zake haswa za genye mimi ndio suluhisho lakeHappy born day mzee Baba hazard cfc mafanikio mema na mfanikishe Jolie Jolie kwenye shida zake pia na yeye asisahau kukufanikisha...
Asantee sana rafiki yangu wa ukweli,mama la mama,mnywaji mwenzangu..Happy birthday dear friend Hazard fc
Hakijaharibika kitu, si tunasogeza mbele tuTatizo hayupo tungeogelea leo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekujahazard cfc ukujee huku mume wangu
Haha kijana umeadimika sanaOyooo!!
Happy birthday to him....
AaaahUmeniwahi nilitaka kuuliza hvyo hvyo na mimi
Nishamuwowa mkuuNani kakuoa wewe kwendaaaaa... Hbd Man
asante mamiii, ila sijanyonyeshwa toka asubh fanya mpango nipate ziwaHeri ya kuzaliwa mzee wa odds [emoji23][emoji23]
Thank you bbadeSweet birthday wishes to you..
Asante mama la mama,mshtue wakunyumba wako nataka mkanitie hasara leo[emoji23]Happy birthday bwana shemeji
This has escalated very quickly...mkuu are you sure you are okay au kuna UFO drags you against your will( joking)Pamoja mkuu jose, usiof mkuu shida zake haswa za genye mimi ndio suluhisho lake