Najua PM huwezi kunijibu hiviπ π πNina miaka kadhaa mamiiiii....[emoji23]
We mtoto unasababisha niwindwe ujue!
πππ
Mi si wa moto πππ
Au hunioni?
Hahaha, sana!
Yaani nimejitahidi kuwapunguza washindani ila hawaishi.
Huyu hazard cfc ni moja ya wapinzani pia.
Mie ndio naweza kuwamaliza,wewe hapo hautaweza π€
Kuna vile wanajikuta wanatamka straight, hapo unajua huyu kashakata tamaa.
Tunasema one down.
Wapinzani kwa Mzigua90?
Manake mie hazard cfc ni mtu fulani hivi kutoka kundi fulani hivi lenye malengo fulani
Teh!
Ila hawa hawaoneshi kukata tamaa?
Nimeshaelewa, basi kila mara nilikuwa ninajiuliza hawa watu mbona siwasomi!
Asante kwa kunitoa wasiwasi.
Wivu utaniua aisee.
Hahaha, wanakata halafu wanafufuka.
Sema tarehe nitakuandikia
Mie nilishakwambia you my only one
Haji kuwepo kama wewe...hawa wengine nawatania tu
ππinaonekana hazard cfc ni mpenzi mtazamaji tuu.Happy birthday to him,,,
Ndo shemeji yetu? Maana inaanzaga hivi hivi