Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
Najua PM huwezi kunijibu hivi๐ ๐ ๐Nina miaka kadhaa mamiiiii....[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najua PM huwezi kunijibu hivi๐ ๐ ๐Nina miaka kadhaa mamiiiii....[emoji23]
We mtoto unasababisha niwindwe ujue!
๐๐๐
Mi si wa moto ๐๐๐
Au hunioni?
Hahaha, sana!
Yaani nimejitahidi kuwapunguza washindani ila hawaishi.
Huyu hazard cfc ni moja ya wapinzani pia.
Mie ndio naweza kuwamaliza,wewe hapo hautaweza ๐ค
Kuna vile wanajikuta wanatamka straight, hapo unajua huyu kashakata tamaa.
Tunasema one down.
Wapinzani kwa Mzigua90?
Manake mie hazard cfc ni mtu fulani hivi kutoka kundi fulani hivi lenye malengo fulani
Teh!
Ila hawa hawaoneshi kukata tamaa?
Nimeshaelewa, basi kila mara nilikuwa ninajiuliza hawa watu mbona siwasomi!
Asante kwa kunitoa wasiwasi.
Wivu utaniua aisee.
Hahaha, wanakata halafu wanafufuka.
Sema tarehe nitakuandikia
Mie nilishakwambia you my only one
Haji kuwepo kama wewe...hawa wengine nawatania tu
๐๐inaonekana hazard cfc ni mpenzi mtazamaji tuu.Happy birthday to him,,,
Ndo shemeji yetu? Maana inaanzaga hivi hivi