Happy birthday Hazardcfc

Happy birthday Hazardcfc

Dear son, you are like a prince to us. May you have a great year and glorious life ahead. We are always with you. I wish you a very Happy Birthday.
 
Asante mamiii kwa kukumbukaa....

Uziandae za kutosha hapo ujiji babe,mnywaji anakujaaaaaa
Kuna wakati unapo kuwa mkubwa unaweza kuwaza mengi na ukawasahau chanzo cha wewe kuwepo duniani

Itumie siku yako ya leo kukaa karibu na wazazi kama walivyo tumia muda mwingi kuhakikisha unazaliwa salama na mazingira rafiki

kheri ya kuwepo duniani

Na Mungu akupe maisha marefu yenye baraka tele
 
Hakikaa mkuu....
 
Back
Top Bottom