carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,562
- 285,591
Director mwenyewe anaumwa kaandika sijui ep4 zile,subiri hadi zijaejaeAlafu nimekuwa mvivuuuu, huwezi amini sijasoma hata episode moja.
Hahahaaaa!! Hebu mlete hizo 'girisi' hamjui vyuma vinasagika!!![emoji23][emoji23]we mama mbona mkali hivyo kwenye zawadi?
Zawadi ya HS mwambie huyu @andjul,shem fanya mpango hapo
Mfumanio classic.Ohooo[emoji125] [emoji125] kumbe upoo
andjul usijifanye huoni hapa nadaiwa zawadi na wewe ndo utanunuaHahahaaaa!! Hebu mlete hizo 'girisi' hamjui vyuma vinasagika!!!
Aaaah!! Mbwembwe zote za kuwa atafanya bandika bandua ikashindikana!!Director mwenyewe anaumwa kaandika sijui ep4 zile,subiri hadi zijaejae
Acha kabisa,huyu hachelewi kwenda kunishtaki[emoji23][emoji23]Mfumanio classic.
Akikushtaki unaruka kimanga, unamgeuzia kesi.Acha kabisa,huyu hachelewi kwenda kunishtaki[emoji23][emoji23]
Acha tu maana katuacha na alosto zetuAaaah!! Mbwembwe zote za kuwa atafanya bandika bandua ikashindikana!!
Shemeji atanunua we mdai tuMama mjeda kwahiyo ndio umemuangushia kesi shemeji!!!
Mwenyewe ananijua[emoji23][emoji23]sipendi kesi kabisaAkikushtaki unaruka kimanga, unamgeuzia kesi.
Mmmh!! We mdai mie nakudai wewe.Shemeji atanunua we mdai tu
Hahaaaa!!Mwenyewe ananijua[emoji23][emoji23]sipendi kesi kabisa
Ni anko wangu huyo ujue...Tangu jana nilimuambia afuate mihogo ya chips hapa gengeni kwangu.Atakua ameichukua maana mafungu manne yamepungua[emoji23][emoji23]we mama mbona mkali hivyo kwenye zawadi?
Zawadi ya HS mwambie huyu @andjul,shem fanya mpango hapo
Rudiii. Msomali ndio nani vileee?Ohooo[emoji125] [emoji125] kumbe upoo
Mfungashie hata na ka kuku basi sikukuu hii ujue?Ni anko wangu huyo ujue...Tangu jana nilimuambia afuate mihogo ya chips hapa gengeni kwangu.Atakua ameichukua maana mafungu manne yamepungua
Msomali yupi tena?Rudiii. Msomali ndio nani vileee?
Hongera sana MWENYEZI MUNGU akupe maisha marefu uendelee kuimarika katika hekima, busara, upendo na uvumilivu.Ahsante mdada wa shoka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Msomali yupi tena?
Ujue ndo kwanza nimeshuka kwenye gari ya matikiti saahizi?[emoji23][emoji23][emoji23]
Una takwimu kutoka NBS? Usiwe mvivu wa kunywa maji ili usisumbuke ikitokea dharulaHahahaaaa!! Hebu mlete hizo 'girisi' hamjui vyuma vinasagika!!!