Happy Birthday Heaven Sent

Happy Birthday Heaven Sent

Alinimiss au?
Habari ya majukumu mamaangu[emoji120] [emoji120]
Ahsante Mungu kwa ujio wako,Ngoda alikukumbuka sana.
Imebidi niingie kwenye maombi ya kukutafuta popote ulipo,aliye juu hashindwi kitu hatimaye amejibu maombi yetu.
Nakutakia sikukuu njema ya basidei ya Heaven sent[emoji120] [emoji120]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naona umemuuzia kesi ngoda!!
 
Ha haaaa huyu Ngoda95 mbona napishana nae maeneo lkn haniambii km amenikumbuka?
Haya nashukuru kwa kumisiwa hivyo. Xmas njema nawe pia my dear.
 
Aliye kuwa amekumisimo sana ni espy,mimi nakumbuka mara ya mwisho tulikutana kulee tukiwa na BAK. Ngoda95 ametuhakikishia leo kuwa upo na umefungua darasa la ukungwi.Yaani eti wewe,amesema Ngoda95 kuwa wewe ni kungwi eti,mimi hata nilikuwa sijui... Nikashangaa tu...
 
Duh...we Ngoda95 come here utoe maelezo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naona umemuuzia kesi ngoda!!
Ngoda alivyo mbishi sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Halafu shemeji kale kapicha umekapeleka wapi? Huyo wa mashineni simpendi kama nini
 
Back
Top Bottom