andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 18,773
- 119,820
[emoji124] [emoji124] nshapigwa tayari...Thanks much mrs msomali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji124] [emoji124] nshapigwa tayari...Thanks much mrs msomali
Mkutano uliendeshwa kibabe hadi ukaathiri mwenendo wa familia. Yaani kila ukiona mwenzio katulia na simu una hisi ndo yaaale ya demi au Nalendwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimekumbuka ule mkutano wa Beijing haha
Hasa yule "nini cha mjerumani" ilikuwa ni kutukana tu hata hajui stori imeanzia wapiYaani ile siku khaaah!! Tulikuwa tunapokezana tu, akichoka mmoja anakuja mwingine. Mtu anatoka huko alikotokea anatukana hata hajui kinachoendelea.
Haha haha Yaani wewe hunishindi mimi siku hizi hata mipira ya MAN U napishana nayo. [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] Ngoda hawezi kuusahau mpambano ule.Kwa sasa nimekuwa mbaba wa kuitikia "aamen" au "haleluyaa" kila niambiwalo na wife.Maisha yanaenda bila hata kutumia grisi
Wala staki mpesa yako[emoji57]Tulizana!
Tuko wangapi?
Hayo mahaba ni ili nitume m-pesa sio?!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] Ngoda hawezi kuusahau mpambano ule.Kwa sasa nimekuwa mbaba wa kuitikia "aamen" au "haleluyaa" kila niambiwalo na wife.Maisha yanaenda bila hata kutumia grisi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkutano uliendeshwa kibabe hadi ukaathiri mwenendo wa familia. Yaani kila ukiona mwenzio katulia na simu una hisi ndo yaaale ya demi au Nalendwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani alichukia nusura atumeze, kumbe wenzie tunamchora tu.Hasa yule "nini cha mjerumani" ilikuwa ni kutukana tu hata hajui stori imeanzia wapi
Hahahaaaa!! Unaogopa ukienda mpirani nae atakwenda?Haha haha Yaani wewe hunishindi mimi siku hizi hata mipira ya MAN U napishana nayo. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wabeijing walikinukisha mnoo!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Haha haha walitutengeneza mnoo.. [emoji23] [emoji23] [emoji23] demi akanisababishia niwe najihami tu, kila nikimuona wife yuko busy na simu najua Hapa najibiwa Mimi kunako jukwaaa [emoji119] [emoji125] [emoji125]
Weeee kuchapiwa kusikie tu kwenye simulizi [emoji28] [emoji23]Hahahaaaa!! Unaogopa ukienda mpirani nae atakwenda?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Weeee kuchapiwa kusikie tu kwenye simulizi [emoji28] [emoji23]
Sikutaka apate sababu anaweza taka na yeye kwenda mpirani.
Japo nimeumiss mchepuko wangu Evelyn Salt.
Mchepuko nikuambie kitu?Weeee kuchapiwa kusikie tu kwenye simulizi [emoji28] [emoji23]
Sikutaka apate sababu anaweza taka na yeye kwenda mpirani.
Japo nimeumiss mchepuko wangu Evelyn Salt.
Mkwe na changu usisahau.