Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Hahahaaaa, are you sure?Anyone can wish me a happy birthday, as long he/she feels to do that, no restrictions. Anyway you can be among my closest people in here, right?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaa, are you sure?Anyone can wish me a happy birthday, as long he/she feels to do that, no restrictions. Anyway you can be among my closest people in here, right?
Hahahaha ndiyooooooHahahaaaa, are you sure?
Hiyo ndiyo sasa ilivyo ndefu, duuu!, So am now your closest friend, Cant believe this!Hahahaha ndiyoooooo
Thanks dear. Be blessed tooHappy earthstrong Heaven Sent be blessed
Kekii[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Akukumbuke kwenye nini tena!!!
Huh!! Kwani ulileta keki?Kekii
Nilileta maua ya usdHuh!! Kwani ulileta keki?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Utaanza na mimi mwaka huu
Yaani sio kwa pata potea hii!! Zikimuishia ndio anarudi mikono nyuma kama mtu vile!! Muache tu atatutambua akirudi,labda asirudi.Na msimu wenyewe ni huu wa sikukuu[emoji23] [emoji23]
Asante sana. Tumbo lishabarikiwa, piga goti ombea na mifuko sasa.Libarikiwe mno Tumbo lililombeba binti huyu.
Kwa namna ya Pekee Sana amekuwa msaada Sana kwa namna chanya kwenye haya maisha ya Kiroho, (Kupitia Maandishi yake kuna gumu lilinisibu akanivusha).
Happy belated birthday Heaven Sent. Mungu azidi kukujalia umri mrefu na maisha yako yawe yenye furaha, amani na uendelee kuwa baraka kwa Wengine.
Hahahaaaa!! Hata mimi kumbe nimekalia tu kipaji. Stay tuned.Kwa kweli, cos sio kwa kurudiwa kama huku na Wasauz...lol
Hahahaaa!! Alikimbia kwenda kuyajenga, chezea beijing wewe!!Kwema Sana Mkuu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umeadimika mno, toka uwekwe mtu Kati siku zile na "Wabeijing" hawa ukaamua kutokomea kusipojulikana.
Good to see you though!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Old to forget my age
Mkwe na changu usisahau.Nakuletea kitenge
Mbona sikuyaona!!!Nilileta maua ya usd
Hivi huwa unafichwa au unajificha!!!Happy bday Heaven Sent,Mungu aendelee kukuongezea busara maa